kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
- Thread starter
- #21
unju bahari kale mwenyezi mungu siku ya kihama nakuomba usimsahau babu TALE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💪💪 kwa bongo ujanja ni mwingiukifanya muziki wa rap, tegemea kufa masikini kama hautokua mjanja wa mjini.
Biashara yenyewe frame ya chupi,Kwenye moja ya mistari yake anakwambia
Wakazi mpe maarifa huku sio kibaha mail moja
konde boy hatetewi baba levoBiashara yenyewe frame ya chupi,
Na bado routes za Uturuki hazikauki🎤
Mkuu nimekuelewa hoja zako lakini sisi wa bongo ni kama tumekalili kuhusu mtu kuimba vitu vinavyo sense [ vitu vya jamii ]Hiyo kwangu ni BiG No.....Ana uwezo mzuri wa kurap na flow nzuri Ila ukiachana na nyimbo chache Alizoimba Kama Katiba Mpya na I'm sorry Jk na smatta bado uwezo wake wakuandika upo chini .
Prof jay anachowazidi hawa Marapa ni kucheza na Mada Fulani hadi ikaeleweka anachoimba.
Uwezo aliwahi kuwa nao Johmakin katika nyimbo ya " I see me" alipokuwa ana meditate kuhusu future yake.
So ninachokiona kwa Nikki ajaribu kuimba mambo yanayo make sense zaidi kama alivyowahi kuimba nyimbo iliyomtambulisha Play Boy
Ili umuelewe lazima uwe umesoma Cuba au una C flaat kwa sababu nikki mbishi huwa hawaimbi vilaza kabisa.Yeye yupo mbele muda
View: https://www.youtube.com/watch?v=hdA0WP4skII
SawaKwenye moja ya mistari yake anakwambia
Wakazi mpe maarifa huku sio kibaha mail moja
Huyu mod n new comer😂bado hujarekebisha neno kachec
tumdunde au unasemajeHuyu mod n new comer😂
una akili kweli mkuu🤣🤣Kwako sawa ila kiuhalisia hata top 5 haingii..
Ijulikane pia mi ni shabiki wa Nikki Mbishi