Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Atashinda kihalali?Si ndo atakuwa amechaguliwa kwa mara ya kwanza lakini!
Kwa kura halali ccm inaangushwa hata na chama cha mzee wa ubwabwa.Muungane ndo mtaishinda ccm, kama nyote 20+ mnataka kua maraisi, sahauni.
Ndo ivo ila mkiungana nguvu itakua kubwa mno, na wafata mkumbo wengi watakuja upinzani, wapenda madaraka watakuja upinzani, watetea mali na maslahi yao watakuja upinzani.Kwa kura halali ccm inaangushwa hata na chama cha mzee wa ubwabwa.
Hapa ndipo huwa mnajidanganya. CCM ina wafuasi kila kona ya nchi hasa vijijini ambapo wananchi hawajui lolote zaidi ya kusikiliza propaganda za CCM nchi akipewa mpinzani amani itapotea.Kwa kura halali ccm inaangushwa hata na chama cha mzee wa ubwabwa.
Ukiungana na ma CHAWA huwezi kutoboa. Majority ya hivyo vyama vinamilikiwa na ccm na vinafanya kazi ya ccmNdo ivo ila mkiungana nguvu itakua kubwa mno, na wafata mkumbo wengi watakuja upinzani, wapenda madaraka watakuja upinzani, watetea mali na maslahi yao watakuja upinzani.
Basi hamtoboiUkiungana na ma CHAWA huwezi kutoboa. Majority ya hivyo vyama vinamilikiwa na ccm na vinafanya kazi ya ccm
Umeanza kukubali yaishe?Kushinda uchaguzi sio kigezo kuwa unakubalika.
Kiongozi madhubuti hukubalika kwa kulinda rasilimali za taifa lake, kutetea raia wasionewe hovyo na kudhibiti dhulma.Pia Kudhibiti ufisadi.
Kura huwa zinaibiwa na kuchakachuliwa kila kukicha.
Je, uchaguzi wa 2010? Mmesahau aliyeshinda alikiri kushinda kimazabe. Mbaya zaidi akabaki kuusingizia waraka wa katoliki.
Mnatakiwa kukubali kuwa hakubaliki
Punguza kuwa under influence. Jamaa katoa ushauri mzuri kwa Wapinzani kuungana. Hata hapo Kenya kinachovipa vyama vya upinzani nguvu kubwa ni coalitionKwa kura halali ccm inaangushwa hata na chama cha mzee wa ubwabwa.
Hii tunaita kujizima data…. Mkongwe Acha yale madude, yanakula sana dataKwa kura halali ccm inaangushwa hata na chama cha mzee wa ubwabwa.
Aah wapi..Basi hamtoboi
Hoja mfuHapa ndipo huwa mnajidanganya. CCM ina wafuasi kila kona ya nchi hasa vijijini ambapo wananchi hawajui lolote zaidi ya kusikiliza propaganda za CCM nchi akipewa mpinzani amani itapotea.
CCM haikubaliki mijini ambapo uelewa wa wakazi wake upo juu.
Bado upinzani hauna mtandao mpana kama CCM. Wakiweka mikakati kabambe na kuwatoa vibaraka wa CCM ndani ya vyama vyao wanaowahujumu wanaweza kushinda kiti cha Urais.
Nani anaogopa tune huru??Aah wapi..
Hovi kwa nini mnaogopa Tume huru?