ngendabanka
JF-Expert Member
- Aug 5, 2020
- 252
- 314
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze,CCM haijawahi kushinda kwenye sanduku la kura.Wanatumia vyombo vya dola kuiba kura .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfa maji haachi kutapatapa. Urais wa Tanzania ni wa CCM kama tunahitaji Amani, Umoja na MaendeleoKushinda uchaguzi sio kigezo kuwa unakubalika.
Kiongozi madhubuti hukubalika kwa kulinda rasilimali za taifa lake, kutetea raia wasionewe hovyo na kudhibiti dhulma.Pia Kudhibiti ufisadi.
Kura huwa zinaibiwa na kuchakachuliwa kila kukicha.
Je, uchaguzi wa 2010? Mmesahau aliyeshinda alikiri kushinda kimazabe. Mbaya zaidi akabaki kuusingizia waraka wa katoliki.
Mnatakiwa kukubali kuwa hakubaliki
Ni yeye kulingana na mfumo ulivyoHaeezi kushinda kamwe hii nnne yamtosha