Kwani akishinda 2025 ndio uthibitisho kuwa anakubalika? Mmesahau Jakaya alivyopigika 2010 akabaki kusingizia udini

Tangu mfumo wa vyama vingi uanze,CCM haijawahi kushinda kwenye sanduku la kura.Wanatumia vyombo vya dola kuiba kura .
 
Mfa maji haachi kutapatapa. Urais wa Tanzania ni wa CCM kama tunahitaji Amani, Umoja na Maendeleo

Sent from my Infinix X678B using JamiiForums mobile app
 
CCM hawawezi kushinda uchaguzi bila ya maelekezo
 
CCM hawawezi kushinda uchaguzi bila ya maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…