Kwani alama ya NYOTA NA MWEZI zinatumika kwenye sigara?

Kwani alama ya NYOTA NA MWEZI zinatumika kwenye sigara?

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Hizi ni alama za nyota na mwezi niu alama za kidini.
Lakini cha AJABU na cha KUSIKITISHA Waislamu wenzangu wako kimya kwa hili, wanafurahia Uislamu unapotumiwa kwenye biashara za sheitwani.
Je nifanyeje ili niweze kuishtaki kampuni ya sigara iache kutumia alama hizo?
 
Mods naomba topic isomeke

[h=2]KWANINI alama ya NYOTA NA MWEZI zinatumika kwenye sigara?[/h]
 
Hizi ni alama za nyota na mwezi niu alama za kidini.
Lakini cha AJABU na cha KUSIKITISHA Waislamu wenzangu wako kimya kwa hili, wanafurahia Uislamu unapotumiwa kwenye biashara za sheitwani.
Je nifanyeje ili niweze kuishtaki kampuni ya sigara iache kutumia alama hizo?
Mna PATENT RIGHT ya hizo alama?
 
no%2520comment-10.jpg
 
....................................tangu LINI???
 
Pole sana ndugu yangu muislam lakini nikusaidie NYOTA NA MWEZI SIO NA HAZIJAWAHI KUWA ALAMA ZA UISLAM BALI NI ALAMA ZA KIPAGANI(FREEMASONS UKIPENDA).ingelikuwa nyota na mwezi ni alama ya uislam basi u.s.a,eu,israel.n.k. Zingekuwa nchi za kiislam.
 
Back
Top Bottom