Nisiwe mnafiki, nimeshangaa sana! Sababu ni hizi hapa, nitapokea kukosolewa sababu si mtaalamu sana;
1. Haimbi nyimbo za asili sasa uasili ule ulitoka wapi?!!! Angekuwa Mpoto ingekuwa safi kabisa.
2. Kwanini hakuvaa ya kwao ya kimanyema? Hataki kabila lake lijulikane? Angeulizwa pale, kwa mfano na wale waliokuwa wanamfuata na kumshangaa na kumcheka, habari za kimasai angeweza kujibu?!! Anyway, sishangai sana kwani nilishawahi kumuona na heleni zenye msalaba wakati nasikia yeye ni Muslim.
3. Sijapendezwa na ile hali ya kumfanya kituko au mshamba flani......ht hvyo lingao lile lilikuwa linaenda wapi duniani km kule na Marne km hii?!!! Kwani nigeria hakuna makabila?!!
Hahahaha eti ulinzi shirikishi wa sungusunguzuAlifikiri kule kuna ulinzi shirikishi wa sungu sungu.
hujaelewa!Umesema akivaa hereni jau. Kimasai pia nako shida..
Lala acha kiherehere
wasikusumbue hao, kama matusi yamesheheni kwenye nyimbo zao, yatakosa humu?Twende taratibu
huo ndo ukweli, ingawa watu wanajifanya kuwa wakali wakiambiwaKwa kweli alichemsha!
yaani, acha tu!Kwa kweli aliyemshari kuvaa yale manyaunyau ya kimasai kampotoshaa domo ....
Hayaja mpendeza kabisaa...!
Hata waoo wanajua kabisa ,hajapendeza
ni issue kubwa ile mkuu, ingawa alikuwa anajipigania yeye mwenyewe kimaisha lakini pia taifa letu....inastahili kujadiliwa!Wabongo hawana dogo
Dogo si Mmanyema, hana chembe yeyote ya Kimanyema.....yule ni MUHA! Anaishi maisha feki ya kulikataa kabila lake na ndiyo maana mizimu ya kwao imekataa kafara alilofanya Mama yake.Nisiwe mnafiki, nimeshangaa sana! Sababu ni hizi hapa, nitapokea kukosolewa sababu si mtaalamu sana;
1. Haimbi nyimbo za asili sasa uasili ule ulitoka wapi?!!! Angekuwa Mpoto ingekuwa safi kabisa.
2. Kwanini hakuvaa ya kwao ya kimanyema? Hataki kabila lake lijulikane? Angeulizwa pale, kwa mfano na wale waliokuwa wanamfuata na kumshangaa na kumcheka, habari za kimasai angeweza kujibu?!! Anyway, sishangai sana kwani nilishawahi kumuona na heleni zenye msalaba wakati nasikia yeye ni Muslim.
3. Sijapendezwa na ile hali ya kumfanya kituko au mshamba flani......ht hvyo lingao lile lilikuwa linaenda wapi duniani km kule na Marne km hii?!!! Kwani nigeria hakuna makabila?!!
Samahani sana huyu sio wa Kigoma. Labda akina Nyange wa Mwanga wanaweza kukujibu HUKU kIGOMA alishahamaNisiwe mnafiki, nimeshangaa sana! Sababu ni hizi hapa, nitapokea kukosolewa sababu si mtaalamu sana;