kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
anamuiga king mswati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fashion mbali mbali BET red kapet
View attachment 1834383View attachment 1834385View attachment 1834388
[emoji23][emoji23][emoji23] jaman mie kucheka ndo hobby yangu.Mkuu mbavu hazikuumi coz wapenda kucheka all the tyme
Mmmh endelea kucheka tu[emoji23][emoji23][emoji23] jaman mie kucheka ndo hobby yangu.
AhsanteMmmh endelea kucheka tu
Hayo mambo wafanye wao. Mondi angevaa kama hivo tungetaftana.Dah watu weusi ni hopeless kabisa, kutiana aibu tu
Wala si uongo ndiyo waliojaa duniani
Chawa wake wanasemajeNisiwe mnafiki, nimeshangaa sana! Sababu ni hizi hapa, nitapokea kukosolewa sababu si mtaalamu sana;
1. Haimbi nyimbo za asili sasa uasili ule ulitoka wapi?!!! Angekuwa Mpoto ingekuwa safi kabisa.
2. Kwanini hakuvaa ya kwao ya kimanyema? Hataki kabila lake lijulikane? Angeulizwa pale, kwa mfano na wale waliokuwa wanamfuata na kumshangaa na kumcheka, habari za kimasai angeweza kujibu?!! Anyway, sishangai sana kwani nilishawahi kumuona na heleni zenye msalaba wakati nasikia yeye ni Muslim.
3. Sijapendezwa na ile hali ya kumfanya kituko au mshamba fulani......hata hvyo lingao lile lilikuwa linaenda wapi duniani kama kule na karne kam hii?!!! Kwani Nigeria hakuna makabila?!!