Kwani aliyemshauri Diamond Platnumz kuvaa vile nani?

Ndugu, ulitaka usiwe mnafiki kivipi?
Mondi anatengeneza maisha yake na si yako.
At least he tried!
Kwanini roho iumie kwa mambo hata huna tija nayo?
 
Reactions: Qwy
Ndugu, ulitaka usiwe mnafiki kivipi?
Mondi anatengeneza maisha yake na si yako.
At least he tried!
Kwanini roho iumie kwa mambo hata huna tija nayo?
Yeye anahangaika maana kaenda huko kutuaibisha nakutufanya tuonekana mapotolo kule ulidhani ni yeye tu.
Hakuna but ni sisi wote
 
Hata mimi nilishangaa kwa yale mavazi kwa kweli hakupendeza. Speshoz angemshonea kasuti kamoja matata mixer kitenge cha batik kwa mbali angefunika kinoma.
 
Mke wa mtu huyo ohooooo lazima awe na pigo amaizing unataka asivutie wakati bwana ake ana pesa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna wapo wengi wameolewa, na mabwana zao wana pesa hawavai km yeye, sema yeye ni anahusika kweny modeling na fashion.
 
Masai Girl,



Masai Boy,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…