Econet ni king'amuzi gani mkuu!.Ving'amuzi vitavyo onyesha world cup ni Supersport na startimes pamoja na econet.
Sasa kama Startimes atarusha unazani azamtv watarusha kweli?
Sisi wengine tupo vijijini kabisa nomatu kabisa Hivi jee Kuna app yoyote ambayo inaweza ikasapat kurusha mpira huwo tuweze kuupata kwenye simu.Ving'amuzi vitavyo onyesha world cup ni Supersport na startimes pamoja na econet.
Sasa kama Startimes atarusha unazani azamtv watarusha kweli?
Uko sahihiTUMIA AKILI NDOGO TU. CHANEL 50+ ZA AZAM TV HAKUNA HATA MOJA ITAKAYOONESHA?? UBC, TBC, ZBC, TV1, ZOOTE HAWATAONESHA?? HAIWEZEKANI.... NI KAMA JUZI HAPA NILISIKIA TBC WATAKUA WANAON ESHA... SIO LAZMA AZAM WATANGAZE KWASABABU HAWATAONESHA KUPITIA CHANNEL ZAO (AZAM1, 2, HD) LAKINI HUENDA CHANNEL ZINGINE ZISIZOMILIKIWA NA AZAM ZIKAONESHA LIVE.
Hivi UEFA wanaonyesha?TUMIA AKILI NDOGO TU. CHANEL 50+ ZA AZAM TV HAKUNA HATA MOJA ITAKAYOONESHA?? UBC, TBC, ZBC, TV1, ZOOTE HAWATAONESHA?? HAIWEZEKANI.... NI KAMA JUZI HAPA NILISIKIA TBC WATAKUA WANAON ESHA... SIO LAZMA AZAM WATANGAZE KWASABABU HAWATAONESHA KUPITIA CHANNEL ZAO (AZAM1, 2, HD) LAKINI HUENDA CHANNEL ZINGINE ZISIZOMILIKIWA NA AZAM ZIKAONESHA LIVE.
Uefa jumatano na Europa huwa wanaonyesha kwenye ubs au ktn zote liveHivi UEFA wanaonyesha?
Hata kama zikioneshwa kwenye hizo channels, je ni mechi zote? Au baadhi tuTUMIA AKILI NDOGO TU. CHANEL 50+ ZA AZAM TV HAKUNA HATA MOJA ITAKAYOONESHA?? UBC, TBC, ZBC, TV1, ZOOTE HAWATAONESHA?? HAIWEZEKANI.... NI KAMA JUZI HAPA NILISIKIA TBC WATAKUA WANAON ESHA... SIO LAZMA AZAM WATANGAZE KWASABABU HAWATAONESHA KUPITIA CHANNEL ZAO (AZAM1, 2, HD) LAKINI HUENDA CHANNEL ZINGINE ZISIZOMILIKIWA NA AZAM ZIKAONESHA LIVE.
Kumbe baadhi ya game sio zote!Uefa jumatano na Europa huwa wanaonyesha kwenye ubs au ktn zote live
Inaonekana UBCHivi UEFA wanaonyesha?
Kwani ww ujavuna Korosho?Kama wanaonyesha waanze kutoa matangazo sio kukaa kimya tu sisi wengine vijijini hatuna hiyo supersport
Sipo huko kwenye korosho nipo huku kwa walima tumbakuKwani ww ujavuna Korosho?