Kwani Azam TV Wataonyesha Kombe la Dunia huko Russia 2018?

Fofader

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
863
Reaction score
299
Wadau,
Kuna mwenye taarifa yeyote kuhusu Azam TV kuonyesha kombe la dunia? Au ndio itabidi kujisogeza kwa jirani?
 
Ving'amuzi vitavyo onyesha world cup ni Supersport na startimes pamoja na econet.
Sasa kama Startimes atarusha unazani azamtv watarusha kweli?
 
Sisi wengine tupo vijijini kabisa nomatu kabisa Hivi jee Kuna app yoyote ambayo inaweza ikasapat kurusha mpira huwo tuweze kuupata kwenye simu.
 
TUMIA AKILI NDOGO TU. CHANEL 50+ ZA AZAM TV HAKUNA HATA MOJA ITAKAYOONESHA?? UBC, TBC, ZBC, TV1, ZOOTE HAWATAONESHA?? HAIWEZEKANI.... NI KAMA JUZI HAPA NILISIKIA TBC WATAKUA WANAON ESHA... SIO LAZMA AZAM WATANGAZE KWASABABU HAWATAONESHA KUPITIA CHANNEL ZAO (AZAM1, 2, HD) LAKINI HUENDA CHANNEL ZINGINE ZISIZOMILIKIWA NA AZAM ZIKAONESHA LIVE.
 
Uko sahihi
 
Hivi UEFA wanaonyesha?
 
Kama wanaonyesha waanze kutoa matangazo sio kukaa kimya tu sisi wengine vijijini hatuna hiyo supersport
 
TUMIA AKILI NDOGO TU. CHANEL 50+ ZA AZAM TV HAKUNA HATA MOJA ITAKAYOONESHA?? UBC, TBC, ZBC, TV1, ZOOTE HAWATAONESHA?? HAIWEZEKANI.... NI KAMA JUZI HAPA NILISIKIA TBC WATAKUA WANAON ESHA... SIO LAZMA AZAM WATANGAZE KWASABABU HAWATAONESHA KUPITIA CHANNEL ZAO (AZAM1, 2, HD) LAKINI HUENDA CHANNEL ZINGINE ZISIZOMILIKIWA NA AZAM ZIKAONESHA LIVE.
Hata kama zikioneshwa kwenye hizo channels, je ni mechi zote? Au baadhi tu
 
Kwa Tanzania ,star times ndio mwenye leseni ya kuonesha World Cup , Azam media wataonesha kupitia ZBC 2 ,au Fox sports ,lkn azam km azam hawana kibali cha kuonesha world cup 2018
 
Siku ikifika nitanunua king'amuzi kingine kama azam hawatoonyesha na hiki cha azam nakiuza nusu ya bei.
 
Back
Top Bottom