Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Ulikuwepo Chamazi/umeangalia mpira kwenye TV? Uwanja ulijaa mashabikiHaina mashabiki, Shabiki ni mchezaji wa 12. Huwa wanacheza pungufu.
Hao wa simba na yanga.Ulikuwepo Chamazi/umeangalia mpira kwenye TV? Uwanja ulijaa mashabiki
Wanakosa presha ya ushindi toka nje ya uwanjaSaivi inabidi kila mchezaji awhile deli la ice cream na ukwaju wakaauze maana ndicho walichonakiza
Haiwezekani timu inakila kitu afu mpira hauonekani
1. Uwanja
2. Pesa mishahara minono
3. Kambi Tunisia.
4. Sajili nzuri.
Wale mashabiki walienda cz kiingilio jezi ,hkn shabiki aliyeenda pale kwamba yy azam lia liaUlikuwepo Chamazi/umeangalia mpira kwenye TV? Uwanja ulijaa mashabiki
Amsha amsha si anafanya Ibwe na zaka zakazi?Tatizo ni ukosefu wa amsha amsha ya uhamasishaji kama anayofanya Manara kwa Yanga. Simba nao walifaidi amsha amsha ya Manara
Hela za dhulma
Kwani Ongala alikuwa mjerumaniWakipata kocha mzawa mfano Minziro, Mexime, Julio, Mkwasa n.k watatisha sana
Wana asira ya fei haoalidhulumiwa baba yako ama?
Wanasema Ongala mwana yanga lialia kisa baba yake alichezea yanga so yeye nifamilia ya yangaKwani Ongala alikuwa mjerumani
Ila Azam ni wasanii Jamani. Yanga walitaka kuingia mkenge nikasema wanasajili Yikpe Junior, sijui walinisikia?Huyu mbona hacheziView attachment 2728969
Usiulize babu pigia mstariSaivi inabidi kila mchezaji awhile deli la ice cream na ukwaju wakaauze maana ndicho walichonakiza
Haiwezekani timu inakila kitu afu mpira hauonekani
1. Uwanja
2. Pesa mishahara minono
3. Kambi Tunisia.
4. Sajili nzuri.