Kwani Azam wamelogwa?

Kwani Azam wamelogwa?

Huyu mbona hachezi
FB_IMG_16930004412321046.jpg
 
Wakipata kocha mzawa mfano Minziro, Mexime, Julio, Mkwasa n.k watatisha sana
 
Saivi inabidi kila mchezaji awhile deli la ice cream na ukwaju wakaauze maana ndicho walichonakiza

Haiwezekani timu inakila kitu afu mpira hauonekani

1. Uwanja
2. Pesa mishahara minono
3. Kambi Tunisia.
4. Sajili nzuri.
Usiulize babu pigia mstari
 
Back
Top Bottom