Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Aug 26, 2023 #21 Paul dybala said: Saivi inabidi kila mchezaji awhile deli la ice cream na ukwaju wakaauze maana ndicho walichonakiza Haiwezekani timu inakila kitu afu mpira hauonekani 1. Uwanja 2. Pesa mishahara minono 3. Kambi Tunisia. 4. Sajili nzuri. Click to expand... Hawana presha na matokeo ndo maana Fei ana kitambi.
Paul dybala said: Saivi inabidi kila mchezaji awhile deli la ice cream na ukwaju wakaauze maana ndicho walichonakiza Haiwezekani timu inakila kitu afu mpira hauonekani 1. Uwanja 2. Pesa mishahara minono 3. Kambi Tunisia. 4. Sajili nzuri. Click to expand... Hawana presha na matokeo ndo maana Fei ana kitambi.
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 9,530 Reaction score 20,988 Aug 26, 2023 #22 Lycaon pictus said: Haina mashabiki, Shabiki ni mchezaji wa 12. Huwa wanacheza pungufu. Click to expand... Wala sio tatizo
Lycaon pictus said: Haina mashabiki, Shabiki ni mchezaji wa 12. Huwa wanacheza pungufu. Click to expand... Wala sio tatizo
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Aug 26, 2023 #23 Hu Jintao said: Fan base matter Click to expand... Hili eneo azam waumize sana kichwa
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Aug 26, 2023 #24 Frank Wanjiru said: Huyu mbona hacheziView attachment 2728969 Click to expand... Huo ni msukule wa kocha! Yaani ni kama tu ilivyokuwa kwa Mlete mzungu, na pia yule golikipa kimeo wa daraja la 4 kutoka Brazil.
Frank Wanjiru said: Huyu mbona hacheziView attachment 2728969 Click to expand... Huo ni msukule wa kocha! Yaani ni kama tu ilivyokuwa kwa Mlete mzungu, na pia yule golikipa kimeo wa daraja la 4 kutoka Brazil.
Hu Jintao JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 1,726 Reaction score 3,359 Aug 26, 2023 #25 Mtu Chake said: Hili eneo azam waumize sana kichwa Click to expand... Hapa ndipo kilipo kifo chao