Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Hawana presha na matokeo ndo maana Fei ana kitambi.Saivi inabidi kila mchezaji awhile deli la ice cream na ukwaju wakaauze maana ndicho walichonakiza
Haiwezekani timu inakila kitu afu mpira hauonekani
1. Uwanja
2. Pesa mishahara minono
3. Kambi Tunisia.
4. Sajili nzuri.