Kwani binadamu tuna tofauti gani na wanyama?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kama Ni kujamiana hata nzi wanafanya ngono.kama Ni kuongea hata tembo wanawasiliana.kama Ni kunya hata nyani wanakunya.kama Ni kula hata wadudu wanakula.kama Ni kuwaza hata nyoka wanafikiri.
me nachoona binadamu tumewazidi UJANJA peke yake.yaani kwa mfano sisi tunaiba maziwa ya ng'ombe tunakunywa hicho ndo tulichowazidi au tunachukua asali tunatumia.yaani hamna kingine Zaidi ya UJANJA.HATA tukitolewa ulimwengu unaendelea na life linaendelea.so sisi Ni Kama vijidudu tu kwenye ulimwengu Kama unabisha bisha kwa fact.
 
Akili ya binadamu ni kubwa kuliko za wanyama hiyo ndio tofauti kubwa
 
Nakubaliana na wewe kwamba sisi pia ni jamii ya wanyama
Tofauti yetu sisi ni kwamba
Ni viumbe tulioumbwa kwa mfano wa Mungu
Viumbe wenye akili zaidi kuliko wanyama wote
Viumbe pekee licha ya kuwa wanyama hatuishi kama wanyama kitabia kimaendeleo kitekenolojia n.k
 
Kuna kiumbe hai tofauti na binadamu anaweza kufanya binadamu anavyofanya?
 
Mim siwezi kufanya mapenzi na nduguzangu, hata kama ni mtoto wa mamdogo au shangazi, hii ndio demarcation ya kwanza ambayo ni kubwa kabisa

Lakini sasa mnyama anafanya hivyo, mfano mbuzi anampnda hata mama na bibiyake etc., pili sisi tunaakili pembuzi katika maswala mbalimbali
Ambapo sasa almost binadam ana3000cc of brain thinking capacity kama sijakosea,

Sasa iweje ujifananishe na wanyama kama ng'ombe mwenye kulala kwenye mavi aloyanya.


Tuthamini thamani aliyotupa mwenyezi mungu kila wkati.
 
kwa hiyo ww na punda mna akili sawa
 
Kwa hyo kama binadamu wa kwanza ni Adam na Hawa mwendelezo wa vizazi ulitoka wapi kama sio ndugu kupandana!? Dunia imestaarabika sasa hv hapo nyuma ilikuwa ni vurumai tupu!!!
 
Tunaweza kuuliza maswali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…