ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kama Ni kujamiana hata nzi wanafanya ngono.kama Ni kuongea hata tembo wanawasiliana.kama Ni kunya hata nyani wanakunya.kama Ni kula hata wadudu wanakula.kama Ni kuwaza hata nyoka wanafikiri.
me nachoona binadamu tumewazidi UJANJA peke yake.yaani kwa mfano sisi tunaiba maziwa ya ng'ombe tunakunywa hicho ndo tulichowazidi au tunachukua asali tunatumia.yaani hamna kingine Zaidi ya UJANJA.HATA tukitolewa ulimwengu unaendelea na life linaendelea.so sisi Ni Kama vijidudu tu kwenye ulimwengu Kama unabisha bisha kwa fact.