Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

Chadema wakumbuke kwamba shabiki anabadilika kutokana na treand but mwanachama ni royal
 
Una mawazo bora mtu wa Mungu ila nilichogundua watu weusi akiwa na kipato kikubwa huwa uwezo wa kufikiri unapungua kama mtu wa darasa la nne shule za vijijini.

Unaweza kuwa unaongea na watu wenye kiburi na walevi wa pombe na madaraka katu usitarajie watakuelewa
 
nilichogundua watu weusi akiwa na kipato kikubwa huwa uwezo wa kufikiri unapungua kama mtu wa darasa la nne shule za vijijini.

Unaweza kuwa unaongea na watu wenye kiburi na walevi wa pombe na madaraka katu usitarajie watakuelewa
Waafrika tunahitaji kubadilika sana
 
Kinachowafanya Wapinzani waweseke ni Kwasababu Rais Samia ame wa outsmart kwa kila kitu.
Bwana mkubwa Mbowe kama unapita hapa nakuomba ikiwezekana tembea kwa magoti hadi chamwino ukaombe radhi kwa Rais Samia la sivyo mtakufa tu mtakuwa mmekaidi sauti ya Mungu.
 
Bwana mkubwa Mbowe kama unapita hapa nakuomba ikiwezekana tembea kwa magoti hadi chamwino ukaombe radhi kwa Rais Samia la sivyo mtakufa tu mtakuwa mmekaidi sauti ya Mungu.
Mwanasiasa wa upinzani anapopingana na samia jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania UMEME: Ukipingana na samia watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji.
 
Rais Samia tangia akiwa waziri katika wizara mbalimbali hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake ya utendaji.
 
Rais Samia tangia akiwa waziri katika wizara mbalimbali hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake ya utendaji.
Rais Samia amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka jana kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena samia.
 
Anza wewe kuwa na malengo ya mwanao then ije Bodi
 
Anza wewe kuwa na malengo ya mwanao then ije Bodi
Mtoto wangu ndio kwanza ana miaka 4 alafu mimi bado sina kipato kizuri.

Bodi wanaweza kukusanya fedha hizi kisha waka reinvest huko bank au serikalini na kupata faida za maana sana.
 
Rais Samia amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka jana kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena samia.
Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Samia ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu. Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia.
 
Utafiti umefanyika na unasema kuwa Rais Samia atawashinda mafisadi na wezi wa mali za umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…