Kwani CHADEMA wamesema watafanya vurugu? Si wamesema wataandamana kwa amani ili dunia ijue watu wanatekwa na kupotezwa?

Kwani CHADEMA wamesema watafanya vurugu? Si wamesema wataandamana kwa amani ili dunia ijue watu wanatekwa na kupotezwa?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Au polisi haina imani na makamanda hawa? Mbona hawatishia amani zaidi ya kuandama?
 
Attachments

  • 20240922_095412.jpg
    20240922_095412.jpg
    62.6 KB · Views: 5
Mkuu haya Maandamano ni zaidi ya Chadema.
Ni muda sasa wa kutaka utawala wa sheria.
 
Au polisi haina imani na makamanda hawa? Mbona hawatishia amani zaidi ya kuandama?
Hilo ndilo fumbo la kuona anga, bahari, maziwa na mito ikiwa na rangi ya bluu, jua likitokeza mashariki kwenda Magharibi, nyota zikimelemeta na ukiweka rula au kipande cha nondo iliyonyooka kwenye beseni la maji utaona imepinda.
 
Polisi ni washamba sana.yaani wanatumia njia zilezile za gunboat diplomacy zilizotumiwa na wajerumani kuwatawala watanganyika Kwa mabavu?.Nguvu ya umma haishindwi kitu.Tukutane jumatatu kumfurusha huyu fascist nduli amini wa Tanganyika wa mwaka 2024.
 
Back
Top Bottom