mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 4,335
- 9,286
Ni chuo kikubwa cha kiserikali kilichopo msamala songea hakuna kiongozi yoyote nchini asie kijua na kina na kina miaka zaidi ya 25
Ajabu ni kwamba kwenye matangazo yao wanadai wanatoa mafunzo ya udereva wa magari makubwa na madogo,
Mchezo unaanza unaenda kusoma unapewa cheti cha uhitimu freshi tu
unatoka hapo unabeba cheti chako unaenda tra kukata leseni, kwanza hawaombi cheti unapewa tu daraja d, a,b nk
unakaazako miez sita unarud TRA kuongeza daraja, shida inaanza unaambiwa lete cheti cha veta
unawapa, afisa anakiangalia anakwambia cheti hiki hakipo kwenye mfumo
unatakiwa urudi tena shuleni sio chuo hiko tena
unatakiwa uende dar,au moro kwamba veta husika haina mafunzo ya malori na mabusr kumbuka hapo tayar ushapigwa laki 4 ya ada ya chuo
mamlaka husika hili jambo limekaaje,? je serikali imeshindwa kununua lori na buss moja kwaajili ya mafunzo na chuo kina miaka zaid ya 20?
Hamuoni kama mnatengeneza mianya ya rushwa mana kuna madereva nawajua wamepigwa zaidi ya laki nane ili wapate lecen