Kwani Edo Kumwembe ungesema taarifa hiyo umeitoa kwa GENTAMYCINE na JamiiForums ungepungukiwa nini?

Tanzania hakuna waandishi wa habari wala content creators. Kuna wapiga chabo tu.

Wanaojiita wachambuzi wengi wao ni watupu kichwani ila wana tabia ya kujitutumua wakiwa wanafanya huo wanaouita uchambuzi kama vile kuna la maana mno wanaloongea kumbe ni pumba tupu na endapo wataongea point basi ni lazima itakuwa imekopiwa sehemu.
 
... mkiwa mnatumia Taarifa zangu GENTAMYCINE zenye uhakika kwa 100% basi ili kunitia Moyo na kuonyesha Uungwana muwe mnafanya Acknowledgement kwa Source / Crediting the Source lakini nasikitika huwa hamfanyi hivyo
Inabidi umpe credit Edo Kumwembe kwa kutumia taarifa zake na kuzileta humu JF
 
Inabidi umpe credit Edo Kumwembe kwa kutumia taarifa zake na kuzileta humu JF
GENTAMYCINE niliyekuja na hii Taarifa Juzi Jumatatu Asubuhi ya Saa 12 na Yeye Edo Kumwembe aliyekuja nayo Jana Jumanne Saa 3 Asubuhi ni nani ndiyo kaichukua kwa Mwenzake?

Pumbavu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!
 
Yani mtu Edo atoe taarifa huku source yake iwe JF...itakuwa inashangaza sana
Kama hujui Jamiiforum ni kubwa kuliko Edo kuliko media yeyote hapa ndani kwa maswala ya uchambuzi iwe ni siasa za ndani kimataifa hata michezo.....usichukulie poa this platform.., kuna watu hapa kiuhalisia maisha yao sisi wengine tunawasoma kwenye magazeti makala na kuwaangalia kwenye media hatuwezi hata pata nafasi ya kukaa nao kwa ukubwa wao ila hapa tunazodoana nao tu hahah
 
Binafsi ukiondoa All football, platform yangu ya uchambuzi naipata hapa, yule bwana Romano yeye amejikita kwenye kutoa taarifa tu wala hachambui

Mada moja inaweza pata wachambuzi 10+ ambao ukiwasoma unaona kabisa si wababaifu kwenye siasa za kimataifa ndio kabisaa maana vyanzo pendwa vyote vipo biased BBC,FOX,FRANCE 24, AL JAZEERA, CNN ila hapa unawapata watu wa pande zote mbili ukichanganya na akili zako(in mzee msoga's voice) unapata kitu cha wewe uamini kipi

Pia usisahau pengine wanaanzaga kuchambua huku ndio baadae kesho wanachambua kwenye vipindi vyao huko hahaha maana nao ni members humu
 
Umeibiwa content mchana kweupe
 
Chizi karogwa tena, dada Genta tafadhali kameze dawa zako usikimbie dozi dada unawapa tabu wanaokuuguza
 
Acha uongo
We kutwa unaandika ujinga hapa
Mwandishi gani a copy
Simba walichukuwa ushauri hapa kuhusu kushusha kiingilio Simba day

 
Topic Closed. Thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…