Sungura dume
JF-Expert Member
- Mar 28, 2016
- 571
- 527
Misri tutaenda maana inatulazima kufanya hivyo kwani ndiyo barabara ambayo lazima tuipite ili kufikia malengo yetu (huenda ikawa ina matope,mashimo au visiki) .Kama tutafungwa ni sawa tu maana hata kufungwa ni matokeo.
Katika safari ya mafanikio huwezi kuogopa ,vikwazo ...Simba kwa mwaka 2018/19 ipo katika timu 16 Bora za AFRIKA! hUU NI UKWELI AMBAO NI LAZIMA MJUE! Hata wewe usingekimbia umande leo usingekuwa uanandika upuuzi huu! Wenzio tulivumilia vipigo vya walimu,baridi,kula marage mabovu, kubebena nk.Kuna wimbo mmoja nimepita sehemu katika mishe mishe zangu nikausikia.. Unaimbwa hivi. Nanukuu..
Mwambie farao nimeokoka sitorudi tena misri naenda Kanani!! Sasa nikajikuta nashtuka nikawaza kuna jirani yangu anatakiwa kwenda misri wiki hii maana ijumaa tarehe 2, amepata mwaliko sasa sijui nimwambie asiende[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ndugu na ndo maana unakikosi kipana chenye uwezo wa kucheza hata na Barcelona,Katika safari ya mafanikio huwezi kuogopa ,vikwazo ...Simba kwa mwaka 2018/19 ipo katika timu 16 Bora za AFRIKA! hUU NI UKWELI AMBAO NI LAZIMA MJUE! Hata wewe usingekimbia umande leo usingekuwa uanandika upuuzi huu! Wenzio tulivumilia vipigo vya walimu,baridi,kula marage mabovu, kubebena nk.