Kwani farao alibaki misri..[emoji40][emoji851]

Sungura dume

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2016
Posts
571
Reaction score
527
Kuna wimbo mmoja nimepita sehemu katika mishe mishe zangu nikausikia.. Unaimbwa hivi. Nanukuu..
Mwambie farao nimeokoka sitorudi tena misri naenda Kanani!! Sasa nikajikuta nashtuka nikawaza kuna jirani yangu anatakiwa kwenda misri wiki hii maana ijumaa tarehe 2, amepata mwaliko sasa sijui nimwambie asiende[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe ni ‘mmataifa’ huwezi kuuelewa huo wimbo ......siwezi kurudi misri!!!!!
All in all, sijui ni kwa nini tahehe2 feb haifiki mapema, yaani mikia ‘watatu tambua’ siku hiyoo na huo utakuwa mwisho wa kimbele mbele chao
 
Misri tutaenda maana inatulazima kufanya hivyo kwani ndiyo barabara ambayo lazima tuipite ili kufikia malengo yetu (huenda ikawa ina matope,mashimo au visiki) .Kama tutafungwa ni sawa tu maana hata kufungwa ni matokeo.
 
Leo mnakubali kirahisi hivyo...[emoji23][emoji23][emoji23]
Misri tutaenda maana inatulazima kufanya hivyo kwani ndiyo barabara ambayo lazima tuipite ili kufikia malengo yetu (huenda ikawa ina matope,mashimo au visiki) .Kama tutafungwa ni sawa tu maana hata kufungwa ni matokeo.
 
Kuna wimbo mmoja nimepita sehemu katika mishe mishe zangu nikausikia.. Unaimbwa hivi. Nanukuu..
Mwambie farao nimeokoka sitorudi tena misri naenda Kanani!! Sasa nikajikuta nashtuka nikawaza kuna jirani yangu anatakiwa kwenda misri wiki hii maana ijumaa tarehe 2, amepata mwaliko sasa sijui nimwambie asiende[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika safari ya mafanikio huwezi kuogopa ,vikwazo ...Simba kwa mwaka 2018/19 ipo katika timu 16 Bora za AFRIKA! hUU NI UKWELI AMBAO NI LAZIMA MJUE! Hata wewe usingekimbia umande leo usingekuwa uanandika upuuzi huu! Wenzio tulivumilia vipigo vya walimu,baridi,kula marage mabovu, kubebena nk.
 
Ni kweli ndugu na ndo maana unakikosi kipana chenye uwezo wa kucheza hata na Barcelona,
 
Back
Top Bottom