Kwani haiwezekani kumpandisha Alikiba kimziki bila kumshusha Diamond?

Moudy Boka

Senior Member
Joined
Jan 14, 2012
Posts
103
Reaction score
32
Nauliza hivi, Kwani haiwezekani kumpandisha Alikiba kimziki bila kumshusha Diamond? Mbona wanigeria wapo wengi na wafanya vizuri Africa?
Nafikiri soko la music is big enough to accomodate all parts, why TZ.

Samahan lakini nauliza tu
 
Nauliza hv..kwani haiwezekani kumpandisha Alikiba kimziki bila kumshusha Diamond? Mbona wanigeria wapo wengi na wafanya vizuri Africa?
Nafikiri soko la music is big enough to accomodate all parts, why TZ.
Samahan lkn nauliza tu

Bila samahani, hata wewe kitendo tu cha kupoteza muda wako na kumuanzishia thread Ally Kiba ni promo tosha kabisa.

Karibu tena.
 
Hahahaaa, Matola wewe!!!!shoka 1 tu mbuyu chini,sidhani kama atarudi tena
 
Last edited by a moderator:

Bila samahani, kitanzania kwa sasa haiwezekani kumpandisha Kiba bila kumhusisha Diamond!

Diamond anapendwa sana na anajua muziki wa kibishara. Tuvumiliane tu ndugu yangu maana ndio akili zetu zilipoishia naomba tena tusamehe bure sisi team kibakuli!!!

teh teh teh, natania tu! hah ha..
 
Bila samahani, hata wewe kitendo tu cha kupoteza muda wako na kumuanzishia thread Ally Kiba ni promo tosha kabisa.

Karibu tena.

Kwa mtazamo wako unaweza kuhisi hii thread nimemuanzishia Ali Kiba kumpa promo lkn hapana ni mtazamo wangu juu ya kuwainua wanamuziki wa bongo, by the way me nawakubali wote thats y nataka wote wafanikiwe
 
Hahahaaa, Matola wewe!!!!shoka 1 tu mbuyu chini,sidhani kama atarudi tena

And thread is closed!

Hawana jipya wanambwelambwela tu they don't know what time is it.

U can't save the time by stoping the clock.
 
Last edited by a moderator:
Nauliza hv..kwani haiwezekani kumpandisha Alikiba kimziki bila kumshusha Diamond? Mbona wanigeria wapo wengi na wafanya vizuri Africa?
Nafikiri soko la music is big enough to accomodate all parts, why TZ.
Samahan lkn nauliza tu

kwa Tanzania haiwezekani mwaya, ni lazima mmoja apigwe chini ndio mwingine apande, ndivyo tulivyoumbwa mwaya, VUMILIA KUWA MTANZANIA.
 
Bila samahani, hata wewe kitendo tu cha kupoteza muda wako na kumuanzishia thread Ally Kiba ni promo tosha kabisa.

Karibu tena.

Ulichoandika na kilichopo kwenye mada ni maji na mafuta.
 
Hakuna anayemshusha domo,bali anajishusha mwenyewe kwa mambo yake!kwaani,peke yake ana hati miliki ya kung'ara!!Peke yake ashangiliwe!watu wasionyeshe hisia zao na mapenzi yao kwa mtu mwingine!!hee kumbee! Cc nifah
 
Wanaomshangilia Kiba ndio wanaosikiliza nyimbo za Diamond.
 
kwa Tanzania haiwezekani mwaya, ni lazima mmoja apigwe chini ndio mwingine apande, ndivyo tulivyoumbwa mwaya, VUMILIA KUWA MTANZANIA.

Nimejifunza kitu kwako "VUMILIA KUWA MTANZANIA'',hilo nalo neno
 
Nani huyo anamshusha diamond na kumpandisha ally kiba??????
 
THE FALLING OF DANGOTE KINGDOM IS NOW
keep in watching
Hakuna anayemshusha domo,bali anajishusha mwenyewe kwa mambo yake!kwaani,peke yake ana hati miliki ya kung'ara!!Peke yake ashangiliwe!watu wasionyeshe hisia zao na mapenzi yao kwa mtu mwingine!!hee kumbee! Cc nifah
Mtulieeee tangu 2014 hadi 2016 hatua aliyoipiga domo ni kubwa kibakuli angechanika msamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…