Kwani haiwezekani kumpandisha Alikiba kimziki bila kumshusha Diamond?

Kwani haiwezekani kumpandisha Alikiba kimziki bila kumshusha Diamond?

diamond kakaba mpaka ndani ya box..
diamond ana juhudi ambazo msanii yoyote wa Tz hana..
diamond ana fans
diamond ana support
diamond ana nyota ya kipekee
diamond mtafutaji
diamond ni diamond tu hakuna mwingine huo ndo ukweli..!

tukiongelea game ya bongo fleva east Africa kwa sasa huwezi kumtaja mwingine zaidi ya Diamond..
diamond kashasepa na east Africa
unafikiri kuna mtu anaweza kum-overtake?

huwezi kufika 3, kama 1 na 2 hujazipita
sasa diamond yuko 10
wenzie wako 1
diamond ndo kipa sasa, utafungaje bila kumtoa golini?

huwezi kwenda popote kama diamond yupo anaendelea na juhudi zake! haiwezekani kwakweli
lazima umshushe kwanza..
au ukubali kuwa no2,no3 na kuendelea ..
diamond kafanya mambo mengi sana makubwa katika bongofleva hakuna msanii ameweza fanya mapinduzi kufikia ya kwake kabla!
kwahiyo hata akishuka, akifanyaje
jamaa ana record ya aina yake ...
baada ya miaka kadhaa atakua LEGEND

hio ndo fact
 
Back
Top Bottom