Kwani hamuwaoni kina Banda,Samatta na Msuva?

Dkileo

Member
Joined
May 23, 2017
Posts
51
Reaction score
46
Nilijaribu kuangalia mechi mbili za kimataifa za kirafiki kati ya timu yetu ya taifa (Taifa stars) .. Dhidi ya Algeria na dhidi ya DRC..Mechi hizi mbili nimezifurahia sana kwa kuwa TFF walijitahidi kutafuta timu ambazo zimetuacha mbali sana katika viwango wa FIFA..

Mechi dhidi ya Algeria..Mwalimu alikwenda na game plan nzuri sana..tulicheza kwa kuzuia Zaidi na kufanya mashambulizi ya kushtukiza..Nakumbuka Himidi Mao na Mudadhir Yahya walicheza kama viungo wawili wakabaji huku mbele yao kakicheza Said Ndemla..Msuva na Samatta walikuwa mbele Zaidi huku Kichuya akicheza winga ya kushoto ambapo alionekana kucheza Zaidi nyuma ambapo aliweza kumsaidi vizuri kukaba Gadiel Michael.. Mwalimu alifikiri riyard mahrez angecheza winga ya kulia..

Wa Algeria walitushambulia kwa speed sana huku wakitumia ma winga wao walio kuwa na speed kali sana..Nakumbuka 1st half Kapombe alipa tabu sana.. Saidi Ndemla hakuoneka sana ..Alikuwa chini ya ulinzi wa Nabil Bentaleb

Katika mechi ile Tanzania ilicheza vizuri sana..Nimpongeze mwalimu kwa kuenda na mbinu nzuri..Japo tulifungwa 4-1 lakini tulionesha mabadiliko..kumbuka mara ya mwisho Tanzania kwenda Algeria tulifungwa magoli 7..

Mechi dhidi ya DRC ..Hii ilikuwa mechi nyingine ambayo Tanzania tulicheza vizuri sana.Mwalimu alifanya mabadiliko machache katika kikosi kilichoanza kule Algeria..mudadhir Yahya na Ndemla hawakuanza..Pia golikipa Manula alirudi baada ya kuukosa mchezo dhidi ya Algeria..

Tofauti ya DRC na Algeria ni aina ya mpira wanaocheza..Algeria wanacheza kwa speed kali sana ..Wanashambulia na kukukaba kwa speed kali..Lakini congo hawana speed kali kama ya Algeria lakini wana watu wenye nguvu sana..Jaribu kuwaangalia Yannick Bolasie na Assambolang..

Kwa kuwa hawakuwa na speed kali hii ilitupa sisi Tanzania mwanya wa kuwa kwa free kuchezea mpira na kuweza kuwashambulia..Pia ilitupa nafasi ya kuweza kujipanga vizuri wakati congo wanapotushambulia..

Kiujumla katika mechi hizi mbili tulijitahidi sana tanzania..Pongezi kwa benchi la ufundi na wachezaji kwa ujumla..Pia wachezaji wetu wa ndani walijitahidi kucheza vizuri sana

Lengo kuu la kuandia post hii ni kuangalia jinsi Pro footballers wetu walivyo tusaidia..

Katika mechi zote mbili wapinzani wetu walijaribu ku deal sana na Samatta..Mabeki wa kati wa Algeria walimsumbua sana Samatta..Kuna wakati Samatta ilimbidi kuhama nafasi..Hata dhiya ya Congo..Lakini unaweza kuona pamoja na kukabwa sana Samatta aliweza kufunga goli dhidi ya Congo

Kwa upande wa Msuva yeye aliweza kupata advantage baada ya wapinzani kudeal sana na Samatta..Msuva amebadilika sana..Mechi dhidi ya Algeria alionekana kuwa na kasi sana na maamuzi ya haraka mno

Pia Abdi Banda siwezi kumsahau..alituonye kuwa hachezi Tanzania..Abdi alikuwa imara mno..Yuko fiti juu pia hata kwenye marking unaweza kuona alivyokuwa imara todfauti na alipokuwa simba

Hapa ndipo ninapo patwa na maswali mengi juu ya watu wenye mamlaka ya kuwapeleka wachezaji wetu wa ndani kwenye trial nchi za wenzetu zilizo tuzidi kisoka..je watu hawa hawaoni Samatta,Msuva na Abdi Banda walivyocheza dhidi ya Algeria na Congo??????

Matunda ya wachezaji hawa kucheza nje yanaonekana kila kukicha..Lakini tuna wachezaji wa chache sana wanaocheza katika ligi kubwa za nje ya nchi..kuweza kuwapata Samatta,Msuva,Banda na Farid Mussa hii inatuonyesha Tanzania tunavipaji vya kutosha..

Mimi bado nalia na watu wenye mamlaka juu ya haya..Jaribu kufikiria wakati Msuva anakwenda Morocco, Shiza Kichuya nae alipata dili la kwenda kucheza huko Afrika Kaskazini..Lakini baadaye tulisikia Kichuya karudi kwa sababu za kimaslahi..Nimezisikia sana hizi sababu za kimaslahi..

Tatizo limekuwa sana kwenye sababu za kimaslahi… Hii ni kwa wote timu,wachezaji na mawakala…Tumekuwa tukihitaji fedha nyingi na za mkupuo ifikapo mchezaji wetu anapo hitajika na timu za nje..Najaribu kukumbuka Haruna Moshi Boban aliamua kurudi bongo kisa maslahi..Hata Kapombe pia aliondoka France kisa maslahi..

Hapa Napata picha kuwa tatizo liko kwetu sisi..Timu zetu,wachezaji na mawakala..Tumekuwa tupo nyuma sana kwenye suala la mikataba..Leo hii skauti akiambwa kuwa kuna kipaji kutoka Tanzania na Nigeria nadhani wakala atakiwahi kipaji cha Nigeria..Kwakuwa tayari Nigeria wanawachezaji wengi maarufu ulaya..Hii inakuwa rahisi sana wao kukubalika..Lakini sisi ulaya tuna Samatta tu ambaye bado hajafikia umaarufu wa Jay Jay Okocha,Taribo West wala Mikel John Obi

Watu wetu lazima wae wajanja kwenye suala la maslahi..Ujanja wenyewe upo kwenye mikataba..Na mikataba ya siku hizi inakua imara kutokana na performance ya mchezaji..Nakumbuka wakati Chelsea inamsajili Oscar kutoka klabu ya internacional ya brazil Oscar alitakiwa kulipwa pesa kiduchu tuu kwa wiki lakini kutokana na kucheza vizuri Oscar mshara ulipnda mpaka pauni 60000

Jaribu kufikiri jambo dogo tuu..Endapo simba kama wangemuuza Samatta kwa pesa kiduchu kwenda TP mazembe then wakaweka vipengele vifuatavyo kwenye mkataba wake..Wangeweka labda endapo TP mazembe wakichukua ubingwa wa Congo then simba ipate kiasi Fulani..Endapo TP Mazembe ichukua kombe la Afrika na Samatta basi simba ipate kiasi Fulani..Au endapo Samatta atauzwa kwenda timu za ulaya simba ipate kiasi Fulani..Je simba leo ingekuwa imemuuza Samatta kwa kiasi gani?????

Msuva anacheza Morocco ambapo ni jirani sana na Hispania..Morocco kuna maskauti wengi sana wa ulaya wanaangalia vipaji vya morocco..Hivyo ni rahisi kwa Msuva kupata timu ulaya..Je Yanga wanaweza kufaidika vipi endapo Msuva atasajiliwa na timu kutoka ulaya?????????

Jaribu kuangalia mkataba wa Isco unavyo ifaidisha Malaga kila Isco anapopata ubingwa na Madrid

Jaribu pia kuangalia jinsi ambavyo Neymar alivyokuwa akinufaika yeye na Santos kwa kila stage ambayo Barca ilifuzu katika champions league na makombe mengine

Ni wakati wa timu,mawakala na wachezaji wetu kuwa wajanja kwenye mikataba..Sidhani kama kuna haja ya kuhitaji donge nono kwa mchezaji kama kichuya,gadieli michael,domayo au mchezaji yeyote anayecheza VPL kwa mkupuo..Donge nono siku hizi linakuja katika mikataba ya kijanja inayo tokana na performance ya mchezaji..

Watanzania tubadilike..tunahitaji Professional footballers wengi Zaidi katika nchi yetu ili tuweze kufikia malengo yetu
 
Mkuu umeongea la msing sana shida iiko kwa wachezaji wenyewe kujua nin wanataka na wapi wanataka kufika, Pia kwa Mawakala wao hawa wamejaa njaa wanaiona kama Mawakala wa Pogba au Sanchez kuna muda naamin elf tano ya kucheza daraja la pil uingereza ni kubwa kuliko elf ishirn ya kucheza Bongo as long as unajua wapi unataka kufika
 
hakika mkuu
 
tatizo ni wachezaji wa bongo kukosa vision ba kukubali kuwa ordinary player na ukae ukijua kucheza kwenye nchi zenye ligi za ushindani unahitajika kuwa kiwango cha zaidi ya kawaida....sasa kuna wachezaji wetu wanacheza ligi kuu misimu mitano lkn kiwango hakikui
 
Nilijaribu kuangalia mechi mbili za kimataifa za kirafiki kati ya timu yetu ya taifa (Taifa stars) .. Dhidi ya Algeria na dhidi ya DRC..Mechi hizi mbili nimezifurahia sana kwa kuwa TFF walijitahidi kutafuta timu ambazo zimetuacha mbali sana katika viwango wa FIFA..

Mechi dhidi ya Algeria..Mwalimu alikwenda na game plan nzuri sana..tulicheza kwa kuzuia Zaidi na kufanya mashambulizi ya kushtukiza..Nakumbuka Himidi Mao na Mudadhir Yahya walicheza kama viungo wawili wakabaji huku mbele yao kakicheza Said Ndemla..Msuva na Samatta walikuwa mbele Zaidi huku Kichuya akicheza winga ya kushoto ambapo alionekana kucheza Zaidi nyuma ambapo aliweza kumsaidi vizuri kukaba Gadiel Michael.. Mwalimu alifikiri riyard mahrez angecheza winga ya kulia..

Wa Algeria walitushambulia kwa speed sana huku wakitumia ma winga wao walio kuwa na speed kali sana..Nakumbuka 1st half Kapombe alipa tabu sana.. Saidi Ndemla hakuoneka sana ..Alikuwa chini ya ulinzi wa Nabil Bentaleb

Katika mechi ile Tanzania ilicheza vizuri sana..Nimpongeze mwalimu kwa kuenda na mbinu nzuri..Japo tulifungwa 4-1 lakini tulionesha mabadiliko..kumbuka mara ya mwisho Tanzania kwenda Algeria tulifungwa magoli 7..

Mechi dhidi ya DRC ..Hii ilikuwa mechi nyingine ambayo Tanzania tulicheza vizuri sana.Mwalimu alifanya mabadiliko machache katika kikosi kilichoanza kule Algeria..mudadhir Yahya na Ndemla hawakuanza..Pia golikipa Manula alirudi baada ya kuukosa mchezo dhidi ya Algeria..

Tofauti ya DRC na Algeria ni aina ya mpira wanaocheza..Algeria wanacheza kwa speed kali sana ..Wanashambulia na kukukaba kwa speed kali..Lakini congo hawana speed kali kama ya Algeria lakini wana watu wenye nguvu sana..Jaribu kuwaangalia Yannick Bolasie na Assambolang..

Kwa kuwa hawakuwa na speed kali hii ilitupa sisi Tanzania mwanya wa kuwa kwa free kuchezea mpira na kuweza kuwashambulia..Pia ilitupa nafasi ya kuweza kujipanga vizuri wakati congo wanapotushambulia..

Kiujumla katika mechi hizi mbili tulijitahidi sana tanzania..Pongezi kwa benchi la ufundi na wachezaji kwa ujumla..Pia wachezaji wetu wa ndani walijitahidi kucheza vizuri sana

Lengo kuu la kuandia post hii ni kuangalia jinsi Pro footballers wetu walivyo tusaidia..

Katika mechi zote mbili wapinzani wetu walijaribu ku deal sana na Samatta..Mabeki wa kati wa Algeria walimsumbua sana Samatta..Kuna wakati Samatta ilimbidi kuhama nafasi..Hata dhiya ya Congo..Lakini unaweza kuona pamoja na kukabwa sana Samatta aliweza kufunga goli dhidi ya Congo

Kwa upande wa Msuva yeye aliweza kupata advantage baada ya wapinzani kudeal sana na Samatta..Msuva amebadilika sana..Mechi dhidi ya Algeria alionekana kuwa na kasi sana na maamuzi ya haraka mno

Pia Abdi Banda siwezi kumsahau..alituonye kuwa hachezi Tanzania..Abdi alikuwa imara mno..Yuko fiti juu pia hata kwenye marking unaweza kuona alivyokuwa imara todfauti na alipokuwa simba

Hapa ndipo ninapo patwa na maswali mengi juu ya watu wenye mamlaka ya kuwapeleka wachezaji wetu wa ndani kwenye trial nchi za wenzetu zilizo tuzidi kisoka..je watu hawa hawaoni Samatta,Msuva na Abdi Banda walivyocheza dhidi ya Algeria na Congo??????

Matunda ya wachezaji hawa kucheza nje yanaonekana kila kukicha..Lakini tuna wachezaji wa chache sana wanaocheza katika ligi kubwa za nje ya nchi..kuweza kuwapata Samatta,Msuva,Banda na Farid Mussa hii inatuonyesha Tanzania tunavipaji vya kutosha..

Mimi bado nalia na watu wenye mamlaka juu ya haya..Jaribu kufikiria wakati Msuva anakwenda Morocco, Shiza Kichuya nae alipata dili la kwenda kucheza huko Afrika Kaskazini..Lakini baadaye tulisikia Kichuya karudi kwa sababu za kimaslahi..Nimezisikia sana hizi sababu za kimaslahi..

Tatizo limekuwa sana kwenye sababu za kimaslahi… Hii ni kwa wote timu,wachezaji na mawakala…Tumekuwa tukihitaji fedha nyingi na za mkupuo ifikapo mchezaji wetu anapo hitajika na timu za nje..Najaribu kukumbuka Haruna Moshi Boban aliamua kurudi bongo kisa maslahi..Hata Kapombe pia aliondoka France kisa maslahi..

Hapa Napata picha kuwa tatizo liko kwetu sisi..Timu zetu,wachezaji na mawakala..Tumekuwa tupo nyuma sana kwenye suala la mikataba..Leo hii skauti akiambwa kuwa kuna kipaji kutoka Tanzania na Nigeria nadhani wakala atakiwahi kipaji cha Nigeria..Kwakuwa tayari Nigeria wanawachezaji wengi maarufu ulaya..Hii inakuwa rahisi sana wao kukubalika..Lakini sisi ulaya tuna Samatta tu ambaye bado hajafikia umaarufu wa Jay Jay Okocha,Taribo West wala Mikel John Obi

Watu wetu lazima wae wajanja kwenye suala la maslahi..Ujanja wenyewe upo kwenye mikataba..Na mikataba ya siku hizi inakua imara kutokana na performance ya mchezaji..Nakumbuka wakati Chelsea inamsajili Oscar kutoka klabu ya internacional ya brazil Oscar alitakiwa kulipwa pesa kiduchu tuu kwa wiki lakini kutokana na kucheza vizuri Oscar mshara ulipnda mpaka pauni 60000

Jaribu kufikiri jambo dogo tuu..Endapo simba kama wangemuuza Samatta kwa pesa kiduchu kwenda TP mazembe then wakaweka vipengele vifuatavyo kwenye mkataba wake..Wangeweka labda endapo TP mazembe wakichukua ubingwa wa Congo then simba ipate kiasi Fulani..Endapo TP Mazembe ichukua kombe la Afrika na Samatta basi simba ipate kiasi Fulani..Au endapo Samatta atauzwa kwenda timu za ulaya simba ipate kiasi Fulani..Je simba leo ingekuwa imemuuza Samatta kwa kiasi gani?????

Msuva anacheza Morocco ambapo ni jirani sana na Hispania..Morocco kuna maskauti wengi sana wa ulaya wanaangalia vipaji vya morocco..Hivyo ni rahisi kwa Msuva kupata timu ulaya..Je Yanga wanaweza kufaidika vipi endapo Msuva atasajiliwa na timu kutoka ulaya?????????

Jaribu kuangalia mkataba wa Isco unavyo ifaidisha Malaga kila Isco anapopata ubingwa na Madrid

Jaribu pia kuangalia jinsi ambavyo Neymar alivyokuwa akinufaika yeye na Santos kwa kila stage ambayo Barca ilifuzu katika champions league na makombe mengine
mechi
Ni wakati wa timu,mawakala na wachezaji wetu kuwa wajanja kwenye mikataba..Sidhani kama kuna haja ya kuhitaji donge nono kwa mchezaji kama kichuya,gadieli michael,domayo au mchezaji yeyote anayecheza VPL kwa mkupuo..Donge nono siku hizi linakuja katika mikataba ya kijanja inayo tokana na performance ya mchezaji..

Watanzania tubadilike..tunahitaji Professional footballers wengi Zaidi katika nchi yetu ili tuweze kufikia malengo yetu
TFF Haihusiani na lolote katika kuteua timu yoyote kucheza na Starz acha ushamba FIFA ndio wanapanga ratiba ya mechi za kirafiki SAWA??
 
Tatizo la soka LA Bongo ni yale makundi yanayojiita "watu wa mpira" na " mpira una wenyewe" wakifa hao basi hizi shida za mpira zitaisha
 
TFF Haihusiani na lolote katika kuteua timu yoyote kucheza na Starz acha ushamba FIFA ndio wanapanga ratiba ya mechi za kirafiki SAWA??
sidani kama kuna swali tena

"Generally speaking, it’s true that the Federation of a national team will set up the schedule for the future months in a year. That means that in a gap that FIFA reserves for international friendlies, they will try to organize one or two games.

Usually the Federation try to get in contact with the representatives of a national team they want to play against. Often it’s a team of similar caliber. That is one of the reasons why you would rarely see a game between Brazil and say Fiji. (No disrespect to Fiji).

Sometimes financial compensation is discussed. This happens especially for famous teams like Brazil or Argentina. A lower tier team may offer to pay them to come play a friendly on their home grounds. Usually these contracts stipulate a minimum number of stars that have to feature for the famous and how many minutes they will be on.
"
 
apo nimekupata nigga.Thanks for your you're denomination
 
Mpira wa tanzania una mambo yafuatayo kwa kifupi yanayosumbua5

1. Uongozi
Viongozi wengi wa mpira elimu ndogo na weng wameupata uongozi kisa wametokana na mpira. Hili linaondoa uelewa wa baadhi ya mambo ya usmart wa kazi. Unakuta kiongozi alicheza mpira kipindi cha kucheza akuvuna pesa sasa anakimbilia kuwa kiongozi ili aweze kuungaunga maisha mfano julio anavyokomaa na simba.

2.Viongozi na biashara ya mpira
Kumekuwepo na viongozi ambao wamekua wakiwasimamia wachezaji. Wanawasajiri wao na kuwapeleka kwenye hizi timu wakidai kuwa wamekopa pesa zao kwa ajiri ya usajiri wao so mchezaji anapopata timu nje kiongozi akaona pesa yake haijarudi au timu inatoa dau dogo mchezaji hauzwi. Hili la uongozi na biashara ya mpira limekua likifukuzisha makocha wengi kwa viongozi kuwapangia makocha wachezaji. Mfano mkemi yanga.. hanspope na kaburu simba

3. Uelewa na malengo kwa Wachezaji
Wachezaji wengi wa kibongo hawajielewi kabisa wanachowaza ni pombe na wanawake mfano ni nimeshuhudia mechi kati ya Mbao F.C na Lipuli mechi ikiwa inaaendelea kirumba wachezaji wa lipuli ambao hawakua kwenye orodha ya kucheza mechi io walikua Club moja maarufu karibu na Villa Park wakipiga konyagi tu. Je hao niwa kutegemea kucheza ulaya... nenda Singida Pale ukaone wachezaji wa Timu pendwa wakila kilaji na kubadirisha wanyaturu tu. Starehe hizi watapata wapi muda wa kujitunza na kuwa na viwango vya kariba ya kina CR7 kwa umri wake ikiwa 99.5% ya wachezaji wa ki afrika miaka magumashi.
Mchezaji akienda nje anamiss mambo kama hizi so lazima arudi kitaa chake pale ilala boma kino na miringo.

Yapo mengi machache ni hayo.

Mwisho
 
Back
Top Bottom