Kwani hii 'byuti byuti!' maana yake nini?!!!

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
maana mtaani kumeingia kelele zisizo kawaida; kila upitako 'byuti byuti'!
 
Rejea katika Matangazo ya nusu Final ya AFC,kati ya Simba na Yanga baada ya Feisar Salum kushinda goli.
Msikilize mtangazaji wa lugha ya kiingilish kutoka nchi ya Kaguta Mseven
 
Rejea katika Matangazo ya nusu Final ya AFC,kati ya Simba na Yanga baada ya Feisar Salum kushinda goli.
Msikilize mtangazaji wa lugha ya kiingilish kutoka nchi ya Kaguta Mseven
PETER OTAI JAMAA WA AZAM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…