Kwani hii nchi yetu imepatwa na nini, kwanini tumegeuka hamnazo namna hii?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Hizi drama anazofanya Makonda kweli nchi nzima tumekuwa wehu kama yeye kiasi hiki?

Yaani unafunga safari unaacha shugjuri zako za msingi kabosa za kukuza kipato chako unageukia betting! Maombi ni betting which means failure of thinking beyond ndo unageukia maombi kama mbadala wa udhaifu wako.

Lini umeshawasikia akina Elon musk eti wanapoteza mda eti wanaenda kwenye maombi.

Taifa hili tumelaaniwa kabisa au tumelogwa
 
Elon Musk juzi alikuwa kwenye maombi ya Kanisa Kuu la Bikira Maria mama wa Yesu pale Paris France akiongozana na Trump

Tafuta Mfano mwingine 😄😄
 
Hizi drama anazofanya Makonda kweli nchi nzima tumekuwa wehu kama yeye kiasi hiki?

Yaani unafunga safari unaacha shugjuri zako za msingi kabosa za kukuza kipato chako unageukia betting! Maombi ni betting which means failure of thinking beyond ndo unageukia maombi kama mbadala wa udhaifu wako.

Lini umeshawasikia akina Elon musk eti wanapoteza mda eti wanaenda kwenye maombi.

Taifa hili tumelaaniwa kabisa au tumelogwa
Izo sio drama mkuu...ni mambo magum sana kufafanua.....masuala ya kiimani yaache tu kama yalivyo na ndio maana kuna uhuru wa kuabudu
 
Hizi drama anazofanya Makonda kweli nchi nzima tumekuwa wehu kama yeye kiasi hiki?

Yaani unafunga safari unaacha shugjuri zako za msingi kabosa za kukuza kipato chako unageukia betting! Maombi ni betting which means failure of thinking beyond ndo unageukia maombi kama mbadala wa udhaifu wako.

Lini umeshawasikia akina Elon musk eti wanapoteza mda eti wanaenda kwenye maombi.

Taifa hili tumelaaniwa kabisa au tumelogwa
pamoja na kwamba ni kweli kabisa huwa simkubali DAB, ila kumuomba Mungu ni lazima! NI LAZIMA!!!!!!

Yuko Mungu mbinguni, Aliye Muumba wa mbingu na nchi, Muumbaji wa vinavyoonekana na visivyoonekana.

mleta mada tubu
 
Hizi drama anazofanya Makonda kweli nchi nzima tumekuwa wehu kama yeye kiasi hiki?

Yaani unafunga safari unaacha shugjuri zako za msingi kabosa za kukuza kipato chako unageukia betting! Maombi ni betting which means failure of thinking beyond ndo unageukia maombi kama mbadala wa udhaifu wako.

Lini umeshawasikia akina Elon musk eti wanapoteza mda eti wanaenda kwenye maombi.

Taifa hili tumelaaniwa kabisa au tumelogwa
Makonda ana sema Rais karogwa!
 
Engine ya gari ikishakuwa mdebwedo tambua hiyo gari ni kimeo haifai kitu
 
Hizi drama anazofanya Makonda kweli nchi nzima tumekuwa wehu kama yeye kiasi hiki?

Yaani unafunga safari unaacha shugjuri zako za msingi kabosa za kukuza kipato chako unageukia betting! Maombi ni betting which means failure of thinking beyond ndo unageukia maombi kama mbadala wa udhaifu wako.

Lini umeshawasikia akina Elon musk eti wanapoteza mda eti wanaenda kwenye maombi.

Taifa hili tumelaaniwa kabisa au tumelogwa

Tumekua wa kiroho kwelikweli wabongo, ndio maana wasabato masalia walitaka kwenda kueneza injili kwa mataifa sugu yasiyoamini na yasiyo ya kiroho wakasahau dini hizo zilitokea hukohuko😀😀😀

Maisha yetu ni kuwaza miujiza tu, na zisipokuwepo hizi dini maana ya maisha inapotea kabisa, maana tunaishi ili tufe tukaishi tena mbinguni na firdaus 😀 😀

Na wipigaji wote wanacheza na beat hiyohiyo yani kama huyu mwanasanaa wa chuga
 
Usimwone yeye kama mjinga, yeye Ni chambo tu Kwa waliopangwa kuhangamia kupitia njia hiyo
 
We unaona maombi ni upuuzi lakini wenzako wanaona ni nguvu, wa kupuuzwa ni wewe
 
Back
Top Bottom