johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nauliza tu ili niwe na uhakika sehemu za kupata huduma za kiafya niwapo wilayani Ubungo.
Nijuavyo Ubungo wana miundombinu mingi sana tena ya kisasa. Pale Mburahati kuna kituo cha kisasa kabisa cha polisi kadhalika panajengwa soko la kimataifa
Stendi kuu ya mabasi ya mikoani n.k, n.k!
Maendeleo hayana vyama!