johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mloganzila ipo wilaya ya kisarawe kwa upande ilipo
Ni wilaya ya Ubungo na sio Kisarawe... jina la eneo ni Kibamba.Mloganzila ipo wilaya ya kisarawe kwa upande ilipo
Kisarawe[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23] we unaishi duni ya wap? Nadhan hata haujui Mloganzila ni nin ndg[emoji23][emoji23][emoji23] unajua ni umbali gan kutoka ofisi za manispaa ya ubungo kwenda Mloganzila?
Huyo ni kati ya worship team .. ambao wengi wao ni mambulula.Kisarawe[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23] we unaishi duni ya wap? Nadhan hata haujui Mloganzila ni nin ndg[emoji23][emoji23][emoji23] unajua ni umbali gan kutoka ofisi za manispaa ya ubungo kwenda Mloganzila?
Ndio nimeuliza Palestina iko ubungo au kinondoni?!Hospitali ya wilaya ubungo ni ipi?
Kwahiyo upande ule na Kwembe yote ni Kisarawe?.......kweli Dsm ni ndogo sana!Mloganzila ipo wilaya ya kisarawe kwa upande ilipo
Ubungo plaza ipo Ubungo!Ndio nimeuliza Palestina iko ubungo au kinondoni?!
Mbona Kama Unashangaa unapojulishwa Jambo. Kuanzia Kiluvya kwa Komba barabara ndio mpaka ukivuka upande wa kulia ni Kibamba au Ubungo ukienda kushoto ni kisarawe we pata ajali ndio utajua. Lkn mloganzila ni Ubungo badoKisarawe[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23] we unaishi duni ya wap? Nadhan hata haujui Mloganzila ni nin ndg[emoji23][emoji23][emoji23] unajua ni umbali gan kutoka ofisi za manispaa ya ubungo kwenda Mloganzila?
Kwahiyo ubungo wana hospitali ya wilaya?!!Ubungo! Hata UDSM ipo UBUNGO! Ubungo plaza ipo Ubungo!
Kwahiyo upande ule na Kwembe yote ni Kisarawe?.......kweli Dsm ni ndogo sana!
Sasa niamini nini Mloganzila ni Kisarawe au Ubungo?Mbona Kama Unashangaa unapojulishwa Jambo. Kuanzia Kiluvya kwa Komba barabara ndio mpaka ukivuka upande wa kulia ni Kibamba au Ubungo ukienda kushoto ni kisarawe we pata ajali ndio utajua. Lkn mloganzila ni Ubungo bado
Malizia kuielezea na Palestina basi!Mloganzila ni ni tawi la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. (Muhimbili National referral hospital)-
Inahudumia Wagonjwa wote Tanzania ingawa ipo kwenye Premises za Wilaya ya Ubungo.
Hospitali za Wilaya ni kwa ajili ya kuhudumia Wagonjwa wa Wilaya husika.
Nauliza tu ili niwe na uhakika sehemu za kupata huduma za kiafya niwapo wilayani Ubungo.
Nijuavyo Ubungo wana miundombinu mingi sana tena ya kisasa. Pale Mburahati kuna kituo cha kisasa kabisa cha polisi kadhalika panajengwa soko la kimataifa
Stendi kuu ya mabasi ya mikoani n.k, n.k!
Maendeleo hayana vyama!
Kwahiyo hata kituo cha daladala Mbezi mwisho ni Kisarawe?!Yes! Ukiwa unatoka Kibaha kuja DSM, mara tu unapomaliza daraja (MPAKANI) kuna Kibao upande wa kulia kinasomeka KARIBU WILAYA YA KISARAWE, na huo ndio upande ilipo MLOGANZILA! Kushoto baada ya daraja ni mkoa wa DSM!
Kumbe!.......kwanini?Hicho kituo cha police mburahati almaarufu mloganzila