Kwani huyu kijana anaumwa au?

Kwani huyu kijana anaumwa au?

Sister Abigail

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
2,886
Reaction score
9,088
Maana sielewi anaenda wapi na kinamsibu nini mpaka anakua hivi
Zamani nlivomwona kwenye karate kid nliwaza atavokuja kuwa star mkubwa hata zaidi ya babake..lakini mambo yanavyoenda kinyume

Screenshot_20230814-122858_1692077270873.jpg
Screenshot_20230814-122858_1692077270873.jpg
 
Maana sielewi anaenda wapi na kinamsibu nini mpaka anakua hivi
Zamani nlivomwona kwenye karate kid nliwaza atavokuja kuwa star mkubwa hata zaidi ya babake..lakini mambo yanavyoenda kinyume kabisa hadi natamani kulia

View attachment 2717746View attachment 2717747
Hiyo picha ni ya zamani na alijikondesha hivyo kwa ajili ya movie,
Waswahili bhana, ulie kisa tajiri kakonda!!!


His recently pic.
Screenshot_20230815-090004_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom