Kwani huyu kijana anaumwa au?

Kwani huyu kijana anaumwa au?

Wanamtumia na analipwa kufanya hivo,,anadem

Si kama yule mjomba wa Old Town Road, Lil Nas X. Kuna wajuvi wa mambo wanasema kajiingiza kwe ushoga kwa ajili ya fame tu.
Si kama huku Afrika, juzi serikali ya Uganda imeambiwa na mabeberu kwamba kama hamtaki kutoa tako hakuna misaada.
 
Tatizo la akili kutotegemea....kawaida ya akili watu maarufu tulioanza kuwaona wakiwa watoto akili ina tabia ya kutaka kuwaona na muinekano uleule wa utoto (Innocent) hii imetokea mfano kwa huyu dogo, Justin Berber, Yule wa Home alone nk hata apa bongo baadhi ya watu wakimuona Jenny Kanumba anafanya mambo ya kiutuuzima akili haikubali.
 
Back
Top Bottom