Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Hiyo picha ni ya zamani na alijikondesha hivyo kwa ajili ya movie,Maana sielewi anaenda wapi na kinamsibu nini mpaka anakua hivi
Zamani nlivomwona kwenye karate kid nliwaza atavokuja kuwa star mkubwa hata zaidi ya babake..lakini mambo yanavyoenda kinyume kabisa hadi natamani kulia
View attachment 2717746View attachment 2717747
Haya samahani dada sikujuaHiyo picha ni ya zamani na alijikondesha hivyo kwa ajili ya movie,
Waswahili bhana, ulie kisa tajiri kakonda!!!
His recently pic.View attachment 2717764
Wajuzi washasema alikua anajikondesha kwa movie..maskini tuache kufuatilia mambo ya watuTumuulize [mention]cocastic [/mention]
Wajuzi washasema alikua anajikondesha kwa movie..maskini tuache kufuatilia mambo ya watu
Ni jambo private mwambaUlishapata mwenza
Movie gani?Wajuzi washasema alikua anajikondesha kwa movie..maskini tuache kufuatilia mambo ya watu
Movie gani dada?Hiyo picha ni ya zamani na alijikondesha hivyo kwa ajili ya movie,
Waswahili bhana, ulie kisa tajiri kakonda!!!
His recently pic.View attachment 2717764
Ni jambo private mwamba
Unataka unitafutie?
Haijatajwa[emoji4]Movie gani?
Usijaribu..mda wote ulikua wapiNgoja nije private
Usijaribu..mda wote ulikua wapi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nilikuwa nashushiwa baraka na upendo wa kweli kwa ajili yako mamii
Ivi wewe ndio yule Abigail's wa harmonize[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
HapanaIvi wewe ndio yule Abigail's wa harmonize