Kwani huyu ni nani?

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Amani kwenu wapendwa.
Tijivue gamba la siasa kidogo,tuweke dini pembeni kidogo,tubake wanaadamu tu. Huwezi kujiuliza huyu ni nani isipokuwa humjui huyo mtu. Katika jamii kila Nani anaweza kuwa fulani respectable wakati na mahala popote. Kijamii zaidi inatupasa kuwaheshimu tusiowajua na tunaowajua kuwa ni duni maana kesho ya mtu nani aliyeijua! Muungwana ni kitendo.
 
Balimi za jioni mbaya sana πŸ˜€πŸ˜€
 
Be mdimi wipepa bangi?
 
Wonders shall never end!
 
Uskisema huna hela moja kwa moja kunamtu atakutukana? ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…