Kwani Ikulu ya Tanzania ilijengwa na Sultan of Oman?

Kwani Ikulu ya Tanzania ilijengwa na Sultan of Oman?

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459
Hapa wajenzi waliwatapeli, Ikulu inakaa makao ya Sultan of Oman ama msikiti mtaani kongowea. Bomoeni hii aibu mfanye heshima kwa makao ya rais wenu.

1591326871318.png
 

Attachments

  • 1591326726051.png
    1591326726051.png
    30.4 KB · Views: 3
Wewe hata historia ya nchi yako huijui ndo utashauri nini sasa bwashee. Sultan mwenyewe kaukuta mzigo huo.
 
Back
Top Bottom