Kwani Jikoni kuna nini jamani. Mbona kila msanii anapenda kusifia kifanyia jikoni au varandani. Kuna nini huko?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Nimekuwa nikisikia wasanii wanasifia sana kufanyia jikoni au varandani. Sasa huko sijui kuna nini ambacho kitandani hakuwezekani. Naomba majobu mliofanyia jikoni
 
Hata wewe Ukiwa na hela unatakiwa kuwa jirani na mamlaka vinginevyo utakuwa mjinga
 
Kuna roho inapandikizwa kwa makusudi kwa maneno hayo. Unashangaa ya jikoni hushangai inavyopewa airtime "mitaro" mara "kunyonyana" mara "koni" nk yote hayo ni kupandikiza roho chafu kiaina ili yale mabaya yaonekane ya kawaida kadri siku zisongavyo
 
MKuu umenena ni kama sasa hivi unaingia kwenye social network unakuta mambo ya mashoga shoga kabisaaa wanapromote wazi wazi angalia yule dogo mmoja yupo karibu na Zuchu wameona yule Agrey kawakimbia wameamua wamuinue mwingine🤨🤨
 
Dah! So sad kwa kweli
 
Back
Top Bottom