Kwani kila cku lawama haziishi kwa walimu?

dumpwa

Senior Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
105
Reaction score
5
Mimi nashangaa lawama kibao kwa
"WALIMU"
Mbona mikoa isiyo na Chakula Maafisa KILIMO hawalaumiwi?Mbona RUSHWA imekithiri TAKUKURU hawalaumiwi? Wagonjwa kibao hufariki daily lakini MADAKTARI hawalaumiwi?
Kodi hazikusanywi ipasavyo mpaka nchi kuwa maskini lakini TRA hawalaumiwi? Je hii ni haki kweli?Walimu tumechoka lawama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…