GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jul 13, 2024 #1 au nae ameshanusa kuwa mbio za mwakani 2025 zinaweza kuwa na kile kilichotokea Iran Watu wakamaliza Shughuli?
au nae ameshanusa kuwa mbio za mwakani 2025 zinaweza kuwa na kile kilichotokea Iran Watu wakamaliza Shughuli?
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,319 Reaction score 9,003 Jul 13, 2024 #2 Anahamia bara
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jul 13, 2024 Thread starter #3 Smith Rowe said: Anahamia bara Click to expand... Mnywa Wine za Ufaransa na Canada kashindwa kushikilia Bomba pamoja na Wanafiki kumpambania sana Mitandaoni?
Smith Rowe said: Anahamia bara Click to expand... Mnywa Wine za Ufaransa na Canada kashindwa kushikilia Bomba pamoja na Wanafiki kumpambania sana Mitandaoni?
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Jul 13, 2024 #4 Kwani kuimarisha ulinzi hadi mtu atishwe? Mbona hizi akili za kulee Haiti tena? Si tulikubaliana kwamba tusiwe na hekaheka za zimamoto, bali chanjo ni bora kuliko tiba? Unataka hadi mahasidi wamle kichwa ndipo achukue tahadhari?
Kwani kuimarisha ulinzi hadi mtu atishwe? Mbona hizi akili za kulee Haiti tena? Si tulikubaliana kwamba tusiwe na hekaheka za zimamoto, bali chanjo ni bora kuliko tiba? Unataka hadi mahasidi wamle kichwa ndipo achukue tahadhari?
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,319 Reaction score 9,003 Jul 13, 2024 #5 GENTAMYCINE said: Mnywa Wine za Ufaransa na Canada kashindwa kushikilia Bomba pamoja na Wanafiki kumpambania sana Mitandaoni? Click to expand... uzuri ni kuwa wanafiki hawana maamuzi, wenye maamuzi wako pembeni
GENTAMYCINE said: Mnywa Wine za Ufaransa na Canada kashindwa kushikilia Bomba pamoja na Wanafiki kumpambania sana Mitandaoni? Click to expand... uzuri ni kuwa wanafiki hawana maamuzi, wenye maamuzi wako pembeni
Swahili AI JF-Expert Member Joined Mar 2, 2016 Posts 10,174 Reaction score 89,364 Jul 13, 2024 #6 Ni upuuzi
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Jul 13, 2024 #7 Ngoja tuone itakuaje
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Jul 13, 2024 #8 viongozi wa CCM wanaishi kwa wasiwasi sana
M Mbuzingombe JF-Expert Member Joined Apr 14, 2024 Posts 353 Reaction score 828 Jul 13, 2024 #9 GENTAMYCINE said: Mnywa Wine za Ufaransa na Canada kashindwa kushikilia Bomba pamoja na Wanafiki kumpambania sana Mitandaoni? Click to expand... Kumbe macho kuwa vile ni sababu ya hizo wine,
GENTAMYCINE said: Mnywa Wine za Ufaransa na Canada kashindwa kushikilia Bomba pamoja na Wanafiki kumpambania sana Mitandaoni? Click to expand... Kumbe macho kuwa vile ni sababu ya hizo wine,