Kwani Kuna ubaya kuomba urithi mapema ?

Kwani Kuna ubaya kuomba urithi mapema ?

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema ..

Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa.

Sasa kwanini nisimwambie anipe changu mapema , tumalizane ..

Urithi wa Elimu kashanipa, nataka na urithi wa asset pia ..

Kesho mapema nitampa haya maelekezo, akikahidi, nitamtapeli .
 
downloadfile.jpg
 
Chukua urithi wako kivyovyote vile maana ukishindwa wewe mtoto wako atatimiza ndoto yako kwa baba ake🤨🤨🤨
 
Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema ..

Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa.

Sasa kwanini nisimwambie anipe changu mapema , tumalizane ..

Urithi wa Elimu kashanipa, nataka na urithi wa asset pia ..

Kesho mapema nitampa haya maelekezo, akikahidi, nitamtapeli .

Mtoto mwenye laana kubwa!

Nyinyi ndio Watu ambao mmekuwa mkiua wazazi wenu kwa ajili ya kutegemea kupata urithi.

Kwanza kabisa unapaswa ujiulize: Je, nini maana ya neno Urithi????

Una hatari kubwa sana wewe Mtu.
Kumbuka: Kwa Kitendo chako hiki Baba yako anaweza akaandika Wosia na akakunyima kabisa Urithi kwa kigezo kwamba Unataka kumdhuru au kumuua mapema zaidi ili urithi Mali zake, hivyo, anakuadhibu kwa kuwa na Nia Ovu uliyonayo ya kutaka kumuua ili upate urithi wa Mali zake.
 
Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema ..

Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa.

Sasa kwanini nisimwambie anipe changu mapema , tumalizane ..

Urithi wa Elimu kashanipa, nataka na urithi wa asset pia ..

Kesho mapema nitampa haya maelekezo, akikahidi, nitamtapeli .
Usiishie hapo, kwanza muambie mshua aondoke hapo nyumbani maana hapo ni kwa baba yako, na yeye aende akakae kwa baba yake.
 
Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema ..

Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa.

Sasa kwanini nisimwambie anipe changu mapema , tumalizane ..

Urithi wa Elimu kashanipa, nataka na urithi wa asset pia ..

Kesho mapema nitampa haya maelekezo, akikahidi, nitamtapeli .
Hapo ndipo akili ya mtoa mada ilipoishia . Kwani mali alizonazo baba yako alizirithi?
 
Safi sana. Baba kukupa mali ni jukumu lake. Toka enzi na enzi wazazi walikuwa wanawapa mali za kuanzia watoto wao.

Wazazi wa siku hizi mtoto wa miaka 25 hapewi chochote kwa kisingizio amepewa elimu. Na
elimu ndio urithi.

Ukweli elimu sio urithi. Hakuna sheria ya mirathi inayotambua elimu kama urithi.

Wazazi wa zama hizi Wanajifanya wanapenda dini ila mafundisho ya dini kuhusu urithi
wanayakataa. Biblia inasema Nyumba na mali mtu atapewa na baba yake.

Hakuna walipo sema
elimu ndio urithi
Wazazi wengi siku hizi wanatumia asilimia kubwa ya vipato vyao kusomesha watoto wao, ila
wanasahau wajibu wao wa kidini hasa Wakristo kuwarithisha mali hao watoto wao.
Watoto wengi wamesoma, wamemaliza vyuo vikuu ila hawajapata ajira. Wanashinda wanazurura
tu na kulala nyumbani kutwa nzima. Sababu baba hana rasilimali za kumpa mtaji.

Elimu ni basic need kama kumpa mtoto chakula, Hivi unaweza wapa watoto chakula ati ndio
useme Urithi,
Elimu ni basic need Kwa mtu inayomsaidia kutumia Rasilimali. Mzazi unapaswa uache Urithi WA
rasilimali ambazo mtoto atazitumia kuendesha maisha yake baada ya kupewa elimu. Elimu bila
Rasilimali ni Sawa na mdomo pasipo Meno.

Baba yake Mo dewji kamsomesha Mo dewji IST na chuo kikuu kikubwa duniani.. ila baada ya
kumaliza tu chuo bado baba akaja kumpa urithi wa mali kijana wake yaani kampuni ya
Mohammed Enterprises

Tatizo la Ajira linaletwa na Wazazi wahuni.
Hujamrithisha mtoto Mali wala kumpa mtaji, sasa ataachaje kukosa Ajira
 
Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema ..

Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa.

Sasa kwanini nisimwambie anipe changu mapema , tumalizane ..

Urithi wa Elimu kashanipa, nataka na urithi wa asset pia ..

Kesho mapema nitampa haya maelekezo, akikahidi, nitamtapeli .
Hamna shida!
Break the ice!
 
akikahidi, nitamtapeli .

Mtapeli Tu kama atakataa kukukatia chako mapema, maisha yenyewe mafupi. anyway hakikisha plan ya kumtapeli ikifeli utajua pa kwenda Sababu huenda ukakutana na Changamoto nzito
 
Back
Top Bottom