Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Mtu anaweza kuona masihara lakini umeandika hoja kubwa sana. Mimi mwanangu sasa hivi ndio kwanza ana miezi mitatu tu lakini tayari nipo kwenye mchakato wa kuandaa future plan yake. Nataka akifika umri wa kujitegemwa awe na sehemu ya kuanzia maisha yaani nyumba na chanzo cha kipato. Najua elimu pekee kwa ulimwengu wa sasa haitoshiNina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema ..
Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa.
Sasa kwanini nisimwambie anipe changu mapema , tumalizane ..
Urithi wa Elimu kashanipa, nataka na urithi wa asset pia ..
Kesho mapema nitampa haya maelekezo, akikahidi, nitamtapeli .