The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema ..
Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa.
Sasa kwanini nisimwambie anipe changu mapema , tumalizane ..
Urithi wa Elimu kashanipa, nataka na urithi wa asset pia ..
Kesho mapema nitampa haya maelekezo, akikahidi, nitamtapeli .
Usiishie hapo, kwanza muambie mshua aondoke hapo nyumbani maana hapo ni kwa baba yako, na yeye aende akakae kwa baba yake.Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema ..
Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa.
Sasa kwanini nisimwambie anipe changu mapema , tumalizane ..
Urithi wa Elimu kashanipa, nataka na urithi wa asset pia ..
Kesho mapema nitampa haya maelekezo, akikahidi, nitamtapeli .
Hapo ndipo akili ya mtoa mada ilipoishia . Kwani mali alizonazo baba yako alizirithi?Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema ..
Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa.
Sasa kwanini nisimwambie anipe changu mapema , tumalizane ..
Urithi wa Elimu kashanipa, nataka na urithi wa asset pia ..
Kesho mapema nitampa haya maelekezo, akikahidi, nitamtapeli .
Hamna shida!Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema ..