Kwani Kuna ubaya kuomba urithi mapema ?

Mtu anaweza kuona masihara lakini umeandika hoja kubwa sana. Mimi mwanangu sasa hivi ndio kwanza ana miezi mitatu tu lakini tayari nipo kwenye mchakato wa kuandaa future plan yake. Nataka akifika umri wa kujitegemwa awe na sehemu ya kuanzia maisha yaani nyumba na chanzo cha kipato. Najua elimu pekee kwa ulimwengu wa sasa haitoshi
 
Hakuna ubaya,je wewe umeshatoa urithi kwa watoto wako mapema?
 
Ana miaka mingapi mzee wako?
Yani mwenzio amepambana awe na vyake siku za uzee asidhalilike, ww unawaza akupe assets zake uuze!
Wewe kijana pambana
Lengo sio kuuza , nataka nifanye ziwe nyingi .

Nizitumie kama mtaji .. Sasa Mzee ana kiwanja ubungo , wewe ungefanyaje?

Unataka nikanunue kiwanja bagamoyo?
 
Kwani mzee wako hana mke (mama yako), mali huwa ni za mke na mume kama mmoja akikata moto kama hakuna wosia mwenzake anaendelea nazo mpaka upewe wewe unasubiria mzazi aliebaki akate moto ndo ije zamu yenu unless kama kuna watoto wa matumbo tofauti.

Mizee ya siku hizi hairithishi ovyo kama zamani, wanawaacha muendelee kuzitamani mali zao
 
Mzee umenitia hasira, kesho mapema sana, Mzee atapokea simu yangu
 
Baada ya kujazia mali zidumu na kuongezeka wewe unawaza kusepa na chako.
Ndio maana waafrika wengi mfano tanzania ukikuta kuna nyumba au mali zilizodumu kizazi mpaka kizazi unaweza kukuta ni waarabu na wahindi asilimia kubwa kwa ngozi hizi za ccm tutanunua umeme nje sana
 
Mali za baba yako sio zako, tafuta za kwako.
 
"Kama ilivyo kwa ufupi au urefu wa mtu, upumbavu ni kipaji pia"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…