Kwani kuna ulazima kwenye haya matamasha kila mchezaji ACHEZE?

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Yaan kuanzia Jana mechi ya Simba na Leo Yanga wanacheza kama timu za shule ya msingi sababu yakulazimisha kila mchezaji acheze, yaan hivi vitoto haviko serious na MPIRA
 
Ndio ipo hivyo,hata ulaya mechi za kirafiki kila mchezaji hucheza. Hizi hazipo kwa ajili ya kupata matokeo. Hapa makocha wanatest mifumo, pattern zile za kupanga timu, uwezo wa mchezaji mmoja mmoja, partnership (kiungo/beki/safu ya ushambuliaji) kocha anatizama.
 
hakuna la maama
 
ndio maana ulaya team zinaingia mbili kipindi cha kwanza wanacheza 11 na sub 4 lazma hyo...
kipindi cha pili tena hivo hivo..
mwanangu GUARDIOLA alikua anamwambia mpaka kocha wa team pinzani achezeshe mabeki 6 na viungo wakabaji 2 ili ajaribu foward line yake
 
Sasa kuna maana gani ya kusajili wachezaji 40? Ni nafasi nzuri kwa kocha kuwagundua wachezaji kulingana na makundi yao.
 
Ndio lengo hilo. Siku maalumu ya kutambulisha wachezaji kwa ajili ya msimu mpya
 
Ndio ipo hivyo,hata ulaya mechi za kirafiki kila mchezaji hucheza. Hizi hazipo kwa ajili ya kupata matokeo. Hapa makocha wanatest mifumo, pattern zile za kupanga timu, uwezo wa mchezaji mmoja mmoja, partnership (kiungo/beki/safu ya ushambuliaji) kocha anatizama.
Na mwisho wa siku n burudani tu
 
Back
Top Bottom