kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Anamaanisha mfano harusi sijui sherehe.... sio matatizo infact, ni mambo ya kujipangia .... send-off, harusi, birthday, kitchen party, 40 sijui ya mtoto na likesKumbe kuna matatizo ya kujitakia π
Ni muhimu kwa ajili ya kutengeneza umoja mshikamano na connectionNimeshuhudia Kuna watu wanakosana na marafiki ndugu kisa alishindwa kutoa hela ya mchango wa harusi
Kwani ni lazima kufanya harusi na hauna bajeti?
Watu wana guts πAisee... mtu unashangaa upo added kwenye grp eti flan anaoa na anataka mchango.... mtu miaka kibao hamjawahi kuwasiliana... hiyo kwangu hapaana π π
Uhakikaa ... ndo ivo yaani ... tunakula na tulioshinda nao njaa π πWatu wana guts π
We Wakomeshe na setting za wasap yako.. ukiset asikuadd yeyote basi zinakuwa zinakuja kama link we ndio unachagua uingie au upotezee..
Aah hapo sawa.. ifike hatua wananchi wa kima flani tubadilike πAnamaanisha mfano harusi sijui sherehe.... sio matatizo infact, ni mambo ya kujipangia .... send-off, harusi, birthday, kitchen party, 40 sijui ya mtoto na likes
Haya mambo ya mamichango achana nayo !!!
Hasa sherehe sijui harusi, birthday, sendoff n.k
Changia vitu muhimu tu kama msiba ama ugonjwa tena kwa watu wako wa karibu !!!!
Mtu mmesoma wote o_level ama primary, 10yrs+ huna namba yake na hamuwasiliani...from no where eti unakuwa added kwenye grp anaoa....uote mchango....
Sitoi hela yangu yaan...uzenge
ππHaya mambo ya mamichango achana nayo !!!
Hasa sherehe sijui harusi, birthday, sendoff n.k
Changia vitu muhimu tu kama msiba ama ugonjwa tena kwa watu wako wa karibu !!!!
Mtu mmesoma wote o_level ama primary, 10yrs+ huna namba yake na hamuwasiliani...from no where eti unakuwa added kwenye grp anaoa....uote mchango....
Sitoi hela yangu yaan...uzenge
Sio lazima mkuu....
Kwanza haya mambo ya michango naona yamebakia tu huku kwetu kizimkaz.
Vijana hawajafaham uzuri, kuna tofauti kubwa kati ya Haruhi na Ndoa aloooo......
Kweli kakaSio lazima mkuu....
Kwanza haya mambo ya michango naona yamebakia tu huku kwetu kizimkaz.
Vijana hawajafaham uzuri, kuna tofauti kubwa kati ya Haruhi na Ndoa aloooo......
warudishe michango yangu eniwei natania tuu bruhKwani Kuna unaoa kwa ajili ya watu waone kaka?
Nyie jeni zedi mna hulka za kimaskini sababu mmekosa ubunifu hapa unatafuta justification huwezi kuwa na hela ukashindwa kutoa mchango wa harusi aya sema huna hela hata fedha unakosaNimeshuhudia Kuna watu wanakosana na marafiki ndugu kisa alishindwa kutoa hela ya mchango wa harusi
Kwani ni lazima kufanya harusi na hauna bajeti?
Uanaona sasa! Unachezea pesa kwenye hamnaπββοΈπββοΈπββοΈKuna jamaa alitusumbua na michango alikua anadai balaa,baada ya siku 30 tu wakatemana,aisee tulimsumbua alijuta na vile alikua mtani alitamani kuturudishia hela zetu!