Siyo lazima.Harusi siyo tukio la ghafla.Anayetaka kufunga ndoa ana muda mrefu wa kujipanga na kuamua harusi yake iweje.Mchango utolewe kwenye ndoa ya mkeka tu.Nimeshuhudia Kuna watu wanakosana na marafiki ndugu kisa alishindwa kutoa hela ya mchango wa harusi
Kwani ni lazima kufanya harusi na hauna bajeti?
Asante sana.Mungu atatusaidia na hii dhahma ya michango.
Tupe shule hii unaingia wp hadi unafika hukoWatu wana guts π
We Wakomeshe na setting za wasap yako.. ukiset asikuadd yeyote basi zinakuwa zinakuja kama link we ndio unachagua uingie au upotezee..
Wasap- Setting- PrivacyTupe shule hii unaingia wp hadi unafika huko
Tayari watajutaWasap- Setting- Privacy
Sio lazima!Nimeshuhudia Kuna watu wanakosana na marafiki ndugu kisa alishindwa kutoa hela ya mchango wa harusi
Kwani ni lazima kufanya harusi na hauna bajeti?
ππhutaki mambo mengiSio lazima!
Mungu aniwezeshe harusi za wanangu sitachangisha..... waalikwa watakuwa watu wachache tu na zawadi zao mkononi π π Ukifika unakabidhi zawadi mlangoni unaingia ukumbini, ni mwendo wa kula, kunywa na kucheza tu, ndani ya saa 2 hadi 3 tunatawanyika, sio tunawekana ukumbini hadi saa saba usiku
Naunga hoja mkonoHaya mambo ya mamichango achana nayo !!!
Hasa sherehe sijui harusi, birthday, sendoff n.k
Changia vitu muhimu tu kama msiba ama ugonjwa tena kwa watu wako wa karibu !!!!
Mtu mmesoma wote o_level ama primary, 10yrs+ huna namba yake na hamuwasiliani...from no where eti unakuwa added kwenye grp anaoa....uote mchango....
Sitoi hela yangu yaan...uzenge