Nimeshangaa kuona DTV nao eti wameanzisha kipindi cha mahojiano na wasanii huku wakiwa kwenye salon kama anavyo fanya salama kwenye kipindi cha mkasi tena mda uleule salama anaporusha kipindi. leo nimekuta akihojiwa Thuddy Thomas kwenye kipindi cha TAGz.
Nawashauri watangazaji wa kitanzania kuwa wabunifu sio kila kitu kuiga.
Ni hayo tu.
jamani ndo vizuri waongeze upinzani ili kila mtu aongeze bidii kwenye program yke.
Acheni ujinga. kwani salama ndo ameanzisha vipindi vya mahojiano na watu maarufu? mbona hamsemi oprah kamuiga larry king? au david letterman? haijalishi wameshuti chooni au saluni au baaa au kwenye danguro zote zinaitwa talk shows. mbona kuna kipindi cha mgahawa hamsemi au lugha haipandi? huyo salama kwanza ni mjinga tuu, yeyote anaweza kuhoji wasanii na watu wakaangalia. mimi nilidhani ana idea tofauti? nilikipenda kipindi cha je tutafika lakini sasa hv kiko wapi? dakika 45 kilianza vizuri leo kiko wapi? planet bongo? bongo movie kiko wapi? setting tofauti, idea ni ileile tu kuhoji watu maarufu. tatizo watu maarufu wenye mvuto ni wachache tz hawazidi 20, then kipindi kitaanza kuboa au kurudia wageni kama bongo movie. msimsifie huyo ***** salama hana lolote jipya. wajifunze vipindi vya reality vya nje wapate ideas, tatizo hawana budget wanaishia kufanya vipindi simple simple tu ambavyo baada ya muda mchache creativity inakuwa limited na location settings plus lack of resources and production skills. tamaa tu ya matangazo ya tigo na voda imewajaa. kwa vile ana connection na huyo madam rita ndo kapata hiyo platform, ila kipindi hakina future. tatizo lingine ana improvise too much mpaka kuna maneno yanashangaza kama kweli huwa anajiandaa.

Kama umefuatilia kwa karibu, watangazaji wote wa vipindi vya burudani wana sauti na swag ambazo mwasisi wake ni Salama, anzia wale wa XXL, kuja na Dullah, njoo kwa Castro Dickson et al et al... JINGA KABISA!
Salama anajitahidi kwa kubuni. Mimi kwa kweli wanao paste huwa siwapendi. Mtu anaumiza kichwa atoke vipi hajatoka umeshamuibia idea yake. Inakela na kudumaza akili za watazamaji.