Kwani lazima kila mtu amuige Salama wa channel 5?

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483
Nimeshangaa kuona DTV nao eti wameanzisha kipindi cha mahojiano na wasanii huku wakiwa kwenye salon kama anavyo fanya salama kwenye kipindi cha mkasi tena mda uleule salama anaporusha kipindi. leo nimekuta akihojiwa Thuddy Thomas kwenye kipindi cha TAGz.
Nawashauri watangazaji wa kitanzania kuwa wabunifu sio kila kitu kuiga.
Ni hayo tu.
 
Kama umefuatilia kwa karibu, watangazaji wote wa vipindi vya burudani wana sauti na swag ambazo mwasisi wake ni Salama, anzia wale wa XXL, kuja na Dullah, njoo kwa Castro Dickson et al et al... JINGA KABISA!
 
jamani ndo vizuri waongeze upinzani ili kila mtu aongeze bidii kwenye program yke.
 
Nimeshangaa kuona DTV nao eti wameanzisha kipindi cha mahojiano na wasanii huku wakiwa kwenye salon kama anavyo fanya salama kwenye kipindi cha mkasi tena mda uleule salama anaporusha kipindi. leo nimekuta akihojiwa Thuddy Thomas kwenye kipindi cha TAGz.
Nawashauri watangazaji wa kitanzania kuwa wabunifu sio kila kitu kuiga.
Ni hayo tu.

Je unakikumbuka kipindi cha witness na Eyrn Epidu?

Kajipange mtoa mada.
 
ndo tulivyo, wagumu na wabovu wa kubuni na kuanzisha ila Mahodari wa kucopy na kupaste! Shame on me!
 
Kama yule Dullah wa planet bongo anikera sana anaiga swaga zote salama'
 
inamaana kama mtu kafungua duka na mimi sitakiwi kufungua duka(tauni kuna maduka kibao tu tena yanafuatana mtaa mmoja na yanauza bidhaa zinazofanana)......mbona vipindi vingi tu vinaigwa nje na kuja kurushwa bongo sema kwa lugha ya kiswahili??kuna ze comedy,kuna orijino komedy,kuna futui wote wanagonga key moja.....unachotaka kutuambia hapa kama kuna muigizaji basi awe muigizaji mmoja wengine watafute fani nyingine kwa kuogopa waonekane wanaiga...
 
Salama ni special one...hakuna mtangazaji wa kizazi kipya anayemkuta kwa sasa.......ni matunda ya John Dilinga Matlou.

Kitambo hicho kulikuwa na majembe kama Mike Mhagama,Sebastian Maganga,JD Matlou.
 
salama kiboko yao ni bonge la mbunifu hata kama kuna vipindi kama hivyo nje ya nchi lakini anajitahidi sana katika kuleta kitu tofauti kwa watazamaji wengine watabaki kuiga mwisho wa siku ni aibu yao,
 
Sioni tatizo kuiga cha mwingine. Inaonyesha jinsi watu walivyopenda ubunifu wako.
Nguo zinafanana kwa sababu watu walipenda ubunifu huo.
Salama ni jembe. Yes ni jembe. Kuigwa hakuna kosa. Mungu amewapa watu ubunifu ili watu wengine nao waige na kunufaika. Zaidi ya hapo wanadamu wanatafuta ubinafsi tu kwa kujifanya kaanzisha yeye na hivyo wengine wabaki kuangalia tu.
Ingekuwa hivyo hata internet kabuni mmarekani fulani na wengine wote tunafaidi online. Na support kuiga kazi ya wengine.
 
Acheni ujinga. kwani salama ndo ameanzisha vipindi vya mahojiano na watu maarufu? mbona hamsemi oprah kamuiga larry king? au david letterman? haijalishi wameshuti chooni au saluni au baaa au kwenye danguro zote zinaitwa talk shows. mbona kuna kipindi cha mgahawa hamsemi au lugha haipandi? huyo salama kwanza ni mjinga tuu, yeyote anaweza kuhoji wasanii na watu wakaangalia. mimi nilidhani ana idea tofauti? nilikipenda kipindi cha je tutafika lakini sasa hv kiko wapi? dakika 45 kilianza vizuri leo kiko wapi? planet bongo? bongo movie kiko wapi? setting tofauti, idea ni ileile tu kuhoji watu maarufu. tatizo watu maarufu wenye mvuto ni wachache tz hawazidi 20, then kipindi kitaanza kuboa au kurudia wageni kama bongo movie. msimsifie huyo ***** salama hana lolote jipya. wajifunze vipindi vya reality vya nje wapate ideas, tatizo hawana budget wanaishia kufanya vipindi simple simple tu ambavyo baada ya muda mchache creativity inakuwa limited na location settings plus lack of resources and production skills. tamaa tu ya matangazo ya tigo na voda imewajaa. kwa vile ana connection na huyo madam rita ndo kapata hiyo platform, ila kipindi hakina future. tatizo lingine ana improvise too much mpaka kuna maneno yanashangaza kama kweli huwa anajiandaa.
 
Mmmh.. Kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake kulingana na mtazamo wake ila sidhan kama ilikuwa inahusu kumtukana just because u dont feel the way she delivers...
 
Kama umefuatilia kwa karibu, watangazaji wote wa vipindi vya burudani wana sauti na swag ambazo mwasisi wake ni Salama, anzia wale wa XXL, kuja na Dullah, njoo kwa Castro Dickson et al et al... JINGA KABISA!

Salama anajitahidi kwa kubuni. Mimi kwa kweli wanao paste huwa siwapendi. Mtu anaumiza kichwa atoke vipi hajatoka umeshamuibia idea yake. Inakela na kudumaza akili za watazamaji.
 
Unajua kwenye hawa maprezenta wa kizazi hiki, Salama ni mama lao, hao wanaoiga naona kama wanajidhalilisha wenyewe, ila uzuri ni kuwa ukweli unafahamika kama wanaiga.
 
Acheni ujinga. kwani salama ndo ameanzisha vipindi vya mahojiano na watu maarufu? mbona hamsemi oprah kamuiga larry king? au david letterman? haijalishi wameshuti chooni au saluni au baaa au kwenye danguro zote zinaitwa talk shows. mbona kuna kipindi cha mgahawa hamsemi au lugha haipandi? huyo salama kwanza ni mjinga tuu, yeyote anaweza kuhoji wasanii na watu wakaangalia. mimi nilidhani ana idea tofauti? nilikipenda kipindi cha je tutafika lakini sasa hv kiko wapi? dakika 45 kilianza vizuri leo kiko wapi? planet bongo? bongo movie kiko wapi? setting tofauti, idea ni ileile tu kuhoji watu maarufu. tatizo watu maarufu wenye mvuto ni wachache tz hawazidi 20, then kipindi kitaanza kuboa au kurudia wageni kama bongo movie. msimsifie huyo ***** salama hana lolote jipya. wajifunze vipindi vya reality vya nje wapate ideas, tatizo hawana budget wanaishia kufanya vipindi simple simple tu ambavyo baada ya muda mchache creativity inakuwa limited na location settings plus lack of resources and production skills. tamaa tu ya matangazo ya tigo na voda imewajaa. kwa vile ana connection na huyo madam rita ndo kapata hiyo platform, ila kipindi hakina future. tatizo lingine ana improvise too much mpaka kuna maneno yanashangaza kama kweli huwa anajiandaa.

sidhani kama kulikuwa kuna sababu ya kutoa lugha ambayo itamchukiza binadam mwenzako nafikiri ulikuwa una uhuru wa kutoa mawazo yako na sababu ya kutoa hayo maoni suala la ujinga sidhani kama lilikuwa linahitajika hapa.
 
Back
Top Bottom