Kwani lazima Upendwe?!

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
kuna mtu leo kaniambia hivi

Money Penny vijana wa sikuhizi wana vituko sana

Kwanza wanalazimisha mapenzi

-kama haupendwi kwanini unang'ang'ania msichana akupende?

wengine wanakuwa wamesha-WOWA lakini utasikia anakwambia kwanini ulinikataa? mimi nimeshaoa mwanamke mwengine lkn sio kesi

wengine wanaanza kusema mapungufu ya wake zao kwa wadada waliowapenda wakawakataa!

Wanaume wa skuhizi ni kwamba wamepagawa na mapepo au?

si wenyewe wanasema wanawake wapo wengi sasa si waende?!

Kwani lazima Upendwe?!

 
Hata mi sielew kwakwel mpka unabak unamshangaa mtu ni mume wa mtu unamwambia sikutak analia kama mtoto sasa unajiulza hv kwa mkewe analiaga hv au what is so so special abt me ambacho kinamliza akat ana mkewe mh? Kwan ni lazma jaman ? Mh
 
Yaani ipo hivi wanaume tunajua kuwasoma wanawake nakwaasilimia kubwa mwanamke ukitaka kumla inabidi umpaishe nahata kama unamke itabidi umjaze kuwa ulimuoa kwabahat mbaya nachaguo lako lilikuwa niyeye so hapo itabidi uanze kumponda mpaka mke wako ili2 lengo lako litimie lakumvua nguo ila kwaasilimia kubwa huwa niuongo ndio unatawala
 
Sio wanaume tu ndo wanafosi kupenda utakuwa umewaonea,kutana na Dada aliye 30 plus age wanang'ang'ania kama luba hats kama una mda nae atalazimisha
 
umesoma uzi vizuri lkn boss?!
Mi nakusii muelewe jamaa, wanaume wana factors nyingi sana hadi wakupende.

Almost wote at first time huwa wanamani wakukule then ndiyo waangalie hizo factor kama unazo.

Gia kubwa ni kujifanya anakupenda sana na wengine huwa wanakutangazia Ndoa kabisa lakini moyoni wanataka wakukule ili waone kama yaliyomo yapo.
 
Sio kila mwanaume kaoa mwanamke anayempenda wengine walifanyia ushirikina, wengine wanawake walitegesha mimba, wengine wameoa kama kumuhurumia mwanamke may be alimsaidia kipindi cha nyuma lakini hakumpenda.
 
Aisee Mungu anawaona
 
Nawengine mpaka wanadondosha chozi mfano nimimi ishamwaga chozi ila lengo hasa lakumwaga chozi nilikuwa namuwazia yule mrembo alivyo kwanjee dah navuta picha akinivulia nguo tukiwa kwabed dah nikajikuta2 chozi linanitoka ila aliponipa tu mzigo duh nilimuachia vumbi silolote sichochote
 
Hata mi sielew kwakwel mpka unabak unamshangaa mtu ni mume wa mtu unamwambia sikutak analia kama mtoto sasa unajiulza hv kwa mkewe analiaga hv au what is so so special abt me ambacho kinamliza akat ana mkewe mh? Kwan ni lazma jaman ? Mh
[emoji3] [emoji3] eti hadi analia ukitaka ujue kama anakupenda kweli mwambie amuache mkewe akuoe wewe ndiyo utajua kama anakupenda au anakuzingua ili akukule tu.

Wanaume wana gia nyingi sana, pia wengi wao huwa tunavutiwa na wanaojifanya wagumu ili kuonyesha ushujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…