Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
kuna mtu leo kaniambia hivi
Money Penny vijana wa sikuhizi wana vituko sana
Kwanza wanalazimisha mapenzi
-kama haupendwi kwanini unang'ang'ania msichana akupende?
wengine wanakuwa wamesha-WOWA lakini utasikia anakwambia kwanini ulinikataa? mimi nimeshaoa mwanamke mwengine lkn sio kesi
wengine wanaanza kusema mapungufu ya wake zao kwa wadada waliowapenda wakawakataa!
Wanaume wa skuhizi ni kwamba wamepagawa na mapepo au?
si wenyewe wanasema wanawake wapo wengi sasa si waende?!
Kwani lazima Upendwe?!