Kwani lazima Upendwe?!

Jibu: Sio lazima kupendwa, pia kupenda sio jukumu la mwanamke, mwanamke jukumu lake utii.

Vijana wa siku hizi ni wastaarabu sana, vijana wa zamani si tu kwamba walikua wanalazimisha mapenzi tu, hata kuoa walikua wanalazimisha/Kibabe.

Ukiona mwanaume ameshaoa alafu anajifanya kumponda mkewe, mara aseme alikosea kuoa n.k jua ni mbinu tu za kukushawishi utoe kitumbua hakuna kingine (ukitaka kuprove hilo mwambie akafukuze mkewe then akajitambulishe kwenu alafu akuwowe wewe kama atakubali).

Kung'ang'ania kitu fulani ili ukipate huko sio kupagawa na mapepo bali zinaitwa juhudi binafsi ambazo huzaa matokeo chanya.

Kwa kumalizia ni kwamba sio lazima KUPENDWA ila ni lazima KUPENDA.
 
Umenifunza kitu hapa!
 
Umeshauri kuwa sio lazima kupendwa....[emoji18] [emoji18] [emoji18]
Ndio kwa maana imeandikwa ni bora kumpenda adui yako kuliko rafiki (kuna thawabu kubwa sana ya kumpenda asiyekupenda). Ndio maana nikasema hakikisha wewe unaupendo na watu wote bila kujali wanakupenda au la.
 
Sawa mwl.wangu wa zamani.....sasa nimekuelewa vyema
 
Sawa mwl.wangu wa zamani.....sasa nimekuelewa vyema
Aisee, ila hapa ni sawa na kutumia muwa kama fimbo ya kutembelea kuna siku utamega kidogo kama sio kuula wote[emoji40]
Alamsiki[emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…