Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Jibu: Sio lazima kupendwa, pia kupenda sio jukumu la mwanamke, mwanamke jukumu lake utii.
Vijana wa siku hizi ni wastaarabu sana, vijana wa zamani si tu kwamba walikua wanalazimisha mapenzi tu, hata kuoa walikua wanalazimisha/Kibabe.
Ukiona mwanaume ameshaoa alafu anajifanya kumponda mkewe, mara aseme alikosea kuoa n.k jua ni mbinu tu za kukushawishi utoe kitumbua hakuna kingine (ukitaka kuprove hilo mwambie akafukuze mkewe then akajitambulishe kwenu alafu akuwowe wewe kama atakubali).
Kung'ang'ania kitu fulani ili ukipate huko sio kupagawa na mapepo bali zinaitwa juhudi binafsi ambazo huzaa matokeo chanya.
Kwa kumalizia ni kwamba sio lazima KUPENDWA ila ni lazima KUPENDA.